Uchaguzi mkuu wa mwaka jana umeniacha sina muelekeo kabisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi mkuu wa mwaka jana umeniacha sina muelekeo kabisa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sangarara, Oct 21, 2011.

 1. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Wakati wa Kampeni za Uchaguzi mkuu Mwaka Jana DR SLAA alijitokeza na kuwa
  kama Mwanga Mpya kwenye maisha yangu hasa kwa ahadi yake ya kuhakikisha
  anashusha gharama ya vifaa vya ujenzi ili kila mtanzania aweze kujenga nyumba
  ya kistaarabu.

  Baada ya kufanya utafiti binafsi nilijihakikishia bila shaka kwamba Watanzania
  tumeamua kumchagua DR SLAA kuwa Kiongozi wetu na hivyo haraka sana nikanunua
  kiwanja tayari kwa maandalizi ya ujenzi.

  Lo!! Alaaniwe aliyeanzisha mchezo wa kuchakachua matokeo kwenye chaguzi
  za Kidemocrasia, Matokeo yakageuzwa, huwa najihisi kuchanganyikiwa kila nikipita
  kwenye kiwanja changu sababu kimejaa magugu mpaka, matumaini yote yamepotea.

  Na kila nikipita pale usiku naota Jaji Lewis Makame anatangaza Matokeo ya uchaguzi
  huku akimtaja DR W. Peter Slaa kama mshindi.

  Kwa kifupi nimepoteza matumaini ya Kujenga tena. Ukizingatia mwisho wa mwezi ujao
  natakiwa kulipia kodi ya nyumba naishia kuwachukia sana Magamba.

  Nasubiri bei ya viwanja ipande zaidi na mimi nikiuze.
   
 2. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Pole kwa kutoweza kujenga lakini nakuhakikishia bei ya vifaa vya ujenzi isingeshuka kwa kiasi kikubwa kwakuwa iko nje ya uwezo wa serikali,namna moja ya watu wengi kujenga ni kupatiwa mikopo ya riba nafuu ambayo wahusika watalipa polepole kwa muda mrefu-miaka 20-30.Njia nyingine ni serikali/manispaa/halmashauri/mifuko ya hifidhi/NHC kujenga nyumba nyingi na kuwauzia watu kwa malipo ya polepole.
   
 3. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole aisee! vumilia 2015 si mbali, tutafanya chaguo la ukweli.
   
 4. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  na hii ndo akili iliyopandikizwa na chi chi EM, serkali yake ndo haiwezi kushusha bei lakini si kitu ambacho hakiwezekani.
  cement ya Iran/China mpaka juzijuzi ilikuwa inauzwa TZS9000/- na imelipa kodi(importations), do you really think haiwezekani kuipunguza ya hapa kwetu? ni kukosa vipaumbele tu!! Issue ya Umeme inashughulikiwa very lightly ndiyo inayotula sisi. serikali kama inauwezo wa kuwafidia wanunuzi wa pamba kwa kiasi cha mpaka zaidi ya 1.5Trillion,wanashindwaje kusubsdize building materials. kwa kusubsidise building materials tayari madarasa yatajengwa ya kisasa na pia barabara za lami zitajengwa kwa gharama ya chini kidogo siyo ya sasa over 1.3Billion per KM. watu wapo hapa mjini wanatake home ya 800,000 na wanalipa kodi ya pango ya mpaka/zaidi ya 300,000/-..mtu huyu hawezi kusomesha tena au ndo wanaongeza idadi ya walarushwa....NHC unaowasema wameanza kukusanya madeni juzi wamezuiwa na fatherhouse,watawezaje kujenga nyumba za kukodisha au kuziuza?.....we need change! we need new ideas and new way of implementations,we need new people who have some sense of humanity,who can say no to bribes(grand and petty)! unless uwe mfuasi wa wahenga walosema ''zimwi likujualo halikuli likakwisha''......ujinga mtupu, zimwi halina mpango wa kumjua mtu na wala halimjui mtu linakumalizeni bila huruma. Nchi hii ilipofikia haiwezi kuharibika zaidi ya hapa, lets move on lets support change with one voice......its us me and you to lead the move not people in Ukerewe,meatu,maswa,karatu,pemba n.k....its good they have done it already in those mentioned areas BUT we can still support them now.
   
Loading...