Mashishanga chukua mtoto wako CHADEMA-Mbowe

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Kauli ya mkuu wa mkoa wa zamani stephen mashishanga kuropoka ccm wamfukuze uanachama mh sabodo umethibitisha mpasuko ndan ya chama hicho..badala ya kuungwa mkono na wabunge wengi wamemgeuka na kumwambia yeye anatakiwa aondoke kwanza na kumwacha sabodo na ccm yetu;;

wa kwanza kujitokez an mh beatrice shelukindo alisema aoni umuhimu wa kumfukuza huyu kijukuu cha mtume kisa kutoa misaada upinzani ama kuchimba visima...akaenda zaidi akasema huyo mashishanga zaidi ya kujiongezea mangombe akiwa mkuu wa mkoa amesaidia nini wananchi zaidi ya wananchi kufurahia siku alipoondolewa

nae mwenyekiti wa chadema mh freeman mbowe alikosoa kauli ya mashishanga na kusema kweli mzee anazeeka mapema
akasema kauli yake inashangaza kwani mwanae yuko ni mbunge wa chadema vitimaalum na kusema wao wako tayari kwa maikono miwili kumpokea sabodo tena kwa matarumbeta ,kama kwelimzazi ataki upinzani basi aje kuchukua na mwanae huku chadema huku akicheka ...

Kwa niaba ya watanzania naomba mumsamehe mzee huyu maana si tatizolake ...........,anazeeka mapema sana

kwa habari zaidi nunu dira ya mtanzania
 
jamani hivi hawa viongozi wetu wana matatizo gani? juzi juzi tulisikia kiongozi wa serikali akimfukuza kiongozi mwenzake jukwaaani,kisa? eti ni wa upinzani! khaaa!mambo gani haya? hivi hawa si ndio wanashibisha matumbo yao kwa semina elekezi wanazopewa na mkuu wa kaya? kwa staili hii ya viongozi tulionao Tz ya maziwa na asali ni baadae sanaaaa!
 
Mashishanga the looser katika uongozi wake kama mkuu wa mikoa ya tabora, mwanza na morogoro hakuna lolote la maana na kukumbukwa alilowafanyia wananchi zaidi ya kujinufaisha yeye binafsi kwa kupora ardhi na mifugo ya wananchi masikini wa morogoro.

Anajaribu kuropoka ili ccm wajue kwamba bado yupo!
 
anataka mkuu wa kaya amsikie ampe walau ka-kibarua kadogo ka kumalizia malizia upashonara wake.
 
Anajikomba mkuu wa kaya amkumbuke maana ameondolewa kabla hajajipanga!
"Ulevi tu, tena ulevi wa madaraka!"- J. K. Nyerere.
 
Ingawa kuua na kosa, wazee kam hawa tungekuwa tunapiga mishale tu, kitendo cha mashishanga kutamka hivi anamaana wananchi hawatakiwi kuchimbiwa hivyo visima vya msaada, ma hali serikali ya ccm haiwajali hata kuwapatia angalau kisima kimoja
 
Huyu ni mmoja ya wale watu wanaotumia masaburi kufikiria............
 
Mashishanga the looser katika uongozi wake kama mkuu wa mikoa ya tabora, mwanza na morogoro hakuna lolote la maana na kukumbukwa alilowafanyia wananchi zaidi ya kujinufaisha yeye binafsi kwa kupora ardhi na mifugo ya wananchi masikini wa morogoro.

Anajaribu kuropoka ili ccm wajue kwamba bado yupo!
Kwani wkuu wa mikoa wana kazi gani zaidi ya kupokea wageni na kumhudumia mkuu wa kaya anapowatembelea????????Serikali inabeba mzigo mkubwa kuhudumia watu wasio na kazi maalumu!!!!!!!!!!!
 
Mashishanga the looser katika uongozi wake kama mkuu wa mikoa ya tabora, mwanza na morogoro hakuna lolote la maana na kukumbukwa alilowafanyia wananchi zaidi ya kujinufaisha yeye binafsi kwa kupora ardhi na mifugo ya wananchi masikini wa morogoro.

Anajaribu kuropoka ili ccm wajue kwamba bado yupo!
Anajaribu kujipendekeza kwa JK ili apewe tena Ukuu wa Mkoa. Kama mtakumbuka huyu babu alitemwa na JK katika kile kilichoonekana ni visasi vya JK kwani kwenye mchakato wa kumchagua mgombea wa CCM 2005 huyu Mzee bila kumung'unya maneno alimtamkia Sumaye alipokwenda Morogoro kwamba wewe ndie mgombea pekee tunaokutambua wengine tunawashangaa hatujui wanafanya nini, kwa hiyo tegemea kura zetu. Akijamwingine hapa tutamfukuza.
 
Ingawa kuua na kosa, wazee kam hawa tungekuwa tunapiga mishale tu, kitendo cha mashishanga kutamka hivi anamaana wananchi hawatakiwi kuchimbiwa hivyo visima vya msaada, ma hali serikali ya ccm haiwajali hata kuwapatia angalau kisima kimoja

kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake kwahiyo na mzee mashishanga katoa maono yake kwa upeo wake
 
anataka mkuu wa kaya amsikie ampe walau ka-kibarua kadogo ka kumalizia malizia upashonara wake.

labda ampe ushemasi wa jimbo la Bagamoyo hana anachoweza kufanya kwa sasa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom