Hongera Lowassa, Sitta, Membe na wengine mfuate nyayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Lowassa, Sitta, Membe na wengine mfuate nyayo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by naninibaraka, Oct 21, 2011.

 1. naninibaraka

  naninibaraka JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2011
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Mtakumbuka kuwa hivi karibuni mh.Edward lowassa aliitisha mkutano na waandishi wa habari kijijini kwake Ngarash-Monduli,pamoja na mambo mengine alizungumzia masuala mbalimbali ikiwemo siasa,uchumi na jamii kwa ujumla,baada ya hotuba ile nilikaa nikaitafakari kwa kina nikajaribu kumlinganisha na wanasiasa wengine kama sitta,membe na wengine nikagundua mh lowassa ana uwezo mkubwa sana,anaonekana ana uelewa mkubwa sana kwenye maeneo aliyozungumzia tofauti na wanasiasa wengine kama sitta na Membe ambao wamekuwa wakipika majungu yasiyo na tija,Lowassa si sehemu ya baraza la mawazir la JK,Membe na Sitta ni miongoni mwa waziri wa JK ambao kwa sasa ni mzigo kwa serikali,hawamshauri Rais ipasavyo badala yake wamekuwa wakizungumza hovyo bila mpangalio,Lowassa ameonyesha ni wapi mambo hayaendi sawasawa amejaribu kutoa mifano mbali mbali ya nchi nyingine zilivyoathirika kwa uchumi na hatua mbalimbali zinazochukuliwa kukabliana na matatizo ya uchumi,Membe kwa nafasi ya uwazir wa mambo ya nnje ya nchi amepata nafasi ya kusafir nchi nyingi pamoja na mh rais lkn hatuoni jipya analokuja na vile vile mh Sitta,mh Membe na Sitta mtuambie mna lipi la kujivunia kwenye wizara mnazoziongoza au ni lipi mnajivunia mlilomshaur mh rais likazaa matunda? Lowassa amejaribu kuwaonyesha njia msipike majungu pokeeni mawazo yake kama changamoto,wazungu wana msemo usemao"ACTION SPEAKS LOUDER THAN WORDS" hatutaki maneno pigeni mzigo tuone,kufanya mikutano na kuonekana kwenye vyombo vya habari siyo maendeleo tunahitaji vitendo!
  Hongera Mh Lowassa kwa kuonyesha njia...
  Nawasilisha
   
 2. BBJ

  BBJ JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 1,183
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  huna cha kupost?Toa takataka zako hapa.Kawadanganye magamba wenzio,MITANZANIA mingine sijui ikoje.shame on you.
   
 3. Malunkwi

  Malunkwi JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu huyu m2 bila shaka ametumwa na ni miongoni mwa wanamtandao wanaoteneza njia ya kumsafisha Lowassa, maana jamaa bado anaamini ataukwaa urais 2015.
   
 4. h

  hans79 JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  ushoga mtupu mikutano bila tija ni unafiki ulokubuhu
   
 5. d

  dotto JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sina uhakika kama Lowasa baada ya shule ya kipindi hicho amewahi enda tena kujinoa. Alichokieleza hakieleweki kabisa. Sina uhakika na ubongo wake unavyofikiri. NAye anawania uraisi wa Wadanganyika. Taabu kwelikweli.
   
 6. T

  Tiote Senior Member

  #6
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiona mtu anamsapoti Lowassa basi ujue anakamilisha ule msemo wa wahenga kwamba kwenye vipofu chongo ndo mfalme wao. JF inashuhudia kwa mara nyingine mtu mwenye below avarage mind akijaribu ku-justify hela aliyolipwa kumsafisha. Hizi ni akili za akina Serukamba, Mhanga na wengine wenzake waliojitwisha mzoga huu. Tatizo hili la kichwa linahitaji kupumzika tu.
   
 7. f

  falesy Senior Member

  #7
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 15, 2006
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ama kweli nimeamini watanzania hatujui kusoma yet hata kuangalia picha! Ushamba wa JF members hushambulia mtu badala ya kujadili hoja! Nawaita wapumbavu wazembe mafisadi wa fikra wote wanaobeza hoja nzito kwa kisingizio na chuki dhidi ya mtoa hoja.

  Kamwe sitegemei wala sikutegemea JF wawe mstari wa mbele kumbeza Lowassa badala ya kujadili mantiki ya kile alichokisema, hii siyo haki wala estaarabu kwani twahitaji maendeleo na hoja za maendeleo zaweza tolewa na yeyote cha msingi ni mtnzania bila kujali kama akili zetu zinatutuma ni nani

  najua tupo wengi hatupendi yaliyotokea kabla 2005 na baada ya 2005 hadi 2008, lakini kwa faida ya taifa ni vema tukatazama uzio na umuhimu wa hoja yenyewe badala ya kukurupuka na kushambulia mtu binafsi!

  Hii JF haikuanzishwa kwa ajili ya movement against some one or a certain party, bali ilianzishwa kwa ajili ya kuibua mijadala yenye tija kwa maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii ya taifa la Tanzania.

  Inaniuma, mjadala unaanzishwa na mwana JF mwenzetu ambaye tunaamini ana fikra pevu kama makusudi ya uanzishwaji wa forums hizi yeti anaishia kubezwa na matusi juu yake kwamba ni fisadi, je huu si ndio ufisadi mkubwa kabisa.

  Haijalishi hoja ni nzito au nyepesi kwa kiasi gani, lakini cha msingi tu ipo hapa lazima tusugue fikra zetu kuitafutia mwelekeo sahihi maana mtoaji ana neno labda tu makosa ya uwasilishi, na ndiyo maana akaiweka. kumkosoa mtu kwa vijembe vingi sana, si sawa.

  Naomba moderator utoe mwongozo na kama JF ni kwa ajili ya kumov against some people and parties then weka wazi ili wengine tuwapishe mwendelee na kijiwe chenu. Inaniuma kuona hoja za wanaJF zikibezwa tu kwa sababu ana hoja yenye mwelekeo unaoonekana machoni pa wengi kama kwenda kinyume na imani (hiden) ya dini hii JF

  Nawasilisha
   
 8. Kakati

  Kakati Senior Member

  #8
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 151
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jamani kila siku tutaongela Lowasa! Si apunzike na sisi tumuongoze.
   
 9. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi upotoshaji huu unamfanyia nani ambaye hajui kusoma magazeti au hana macho ya kuangalia luninga. Labda wewe umetumwa kuongea usichokifahamu lakini kwa taarifa yako huyu bwana amejipiga mshikaki na kwa sababu uwezo wa kupima damage ni mdogo, watu kama nyie ambao mlitakiwa kumsikitikia ndo mnashabikia maumivu ya mwenzenu. Kwako wewe kusema kwamba hawakukutana barabarani na rais ndo uelewa mpana wa mambo. Let me tell you "a quiet fool is considered wise".
   
 10. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Huu si wakati wa kuvumilia upuuzi eti in the name of kuvumiliana. A spade should be designated as such. Hapa tunachojadili ni hoja ya huyu mtu and in simple terms tunachosema ni kwamba ni hoja tasa na ambayo inastahili kuwa dismissed with the contempt it deserves na sidhani kama Mods wana uwezo wa kuvumilia unafiki. Hoja iliyotolewa na Lowassa ndiyo inayojadiliwa humu na mojawapo ni kusema hawakukutana barabarani na Rais. Unataka hiyo iwekwe vipi ili mantiki yake iwe tofauti na alivyomaanisha? hata siku moja hapa hatujadili personalities, na ndiyo maana urefu au ufupi wa mtu, mvi zake, ulemavu wake, uchamungu wake, ushetani wake na mengine hatuhusiki nayo. Lakini akitoa hoja potofu au inayopingana na kile anachokitenda au kusingizia uadilifu wakati si kweli, hilo tutalijadili kwa sababu lina relevance kwenye hoja yenyewe.

  Hapa hakuna ulichotetea. Hoja haina mashiko na sisi tunatoa msaada ili watu wakija humu wajiandae na waelewe JF siyo uwanja wa mbumbumbu na wala mtu hatakiwi kujigeuza msanii ambaye kazi yake ni kuburudisha watu hata pasipostahili. Utetezi wako wenye makengeza hautapata manunuzi hapa.
   
 11. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sasa nimeanza kuamini zile fununu kuwa kuna waandishi wamenunuliwa kumsafisha EL kabla ya 2013, huyu ni moja wao na sitamshangaa ila niseme kuwa mimi si mtetezi wa Sitta wala Membe na wala mtu yeyote ila naomba atuambie huyu mtumwa Lowasa alishawahi mumshauri nini JK ambacho kilizaa matunda?? huyu si ndo alikuwa waziri mkubwa kuliko wote? huyu si ndo alijiuzulu kwa madudu aliyoyafanya? Huyu si ndo alitenga 8billions kuhakikisha kuwa anakuwa rais 2015? au huyu mtoa maada ni kati ya waliofaidika na fundi hilo?
  Pamoja na kwamba nchi yetu imeshakuwa ya ajabu kiasi hiki lakini EL mbunge wa monduli hafai kuwa rais wa nchi yyte dunian vinginevyo nchi hiyo itajutia historia yake
   
 12. m

  mharakati JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  huitaji hata kufika darasa la nne na kuanza kutumia kalamu ya wino kujua huyu ni kibaraka wa EL ..Hivi unajua kwamba maudhui ya mikutano yote ilikua ni tofauti sasa hutapimaje mahojiano yenye maudhui tofauti na kusema haya ni mazuri kuliko haya. unaweza kuwa siyo kibaraka lakini ukawa ni mbumbumbu maana yake hata ukibaraka unahitaji kaakili kadogo
   
 13. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Katumwa mwenzenu!
   
 14. Hakikwanza

  Hakikwanza JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,898
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Kazi kweli kweli
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Hongera EL, nakukubali technic zako, 2015 wataisoma namba.
   
 16. M

  Mponjori JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 2,210
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nakubaliana nawew.tunatakiwa kujadili sio kupingapinga kila kitu
   
 17. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hizi mbio za urais zitatufanya tuwe wajinga tusipokuwa wajanja.
   
 18. MBURE JASHA

  MBURE JASHA JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  point kabisa mkuu! wewe umesema ! siku moja kulikuwa na mkutano wa CHADEMA Mwanga. Viongozi wa wilaya wakatangaza kuwa anakuja G. Lema kumbe anakuja Basili lema. Mkutano haukufana kuna mtu akasema wamefunika kumbe uwongo mtupu! nikamweleza akanishambulia tena sana. WanaCDM mfikie mahali mseme ukweli tusifarijiane kwa vitu ambavyo havipo. Tunamdanganya nani!
   
 19. B

  BigMan JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2011
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  .....james ole millya,benno malisa....ongeza na wengine
   
 20. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wabongo tunapenda kukurupuka, sasa nyinyi mmeskia richmond tayari mmekimbilia Lowasa, Binafsi mm namkubari Lowasa kwanza nimuwajibikaji, hivyo kivyovyote Ogopa mtu wa namna hiyo maana ukifanya mchezo lazima atakuwajibisha papo hapo I wish angetuongoza yeye amini usiamini watu wangekuwa wamenyooka.ccm kuna mamtu mengi yana haribu chama alafu viongozi wanajua kuwa nimanachama kumbe ni maharibifu yanaharibu chama cha watu na kwavile hakuna kufatilia basi chama kinapoteza mvuto. Chadema wako makini sana nawasifu ukileta ujinga wanakufukuza huku wakikutazama machoni.
  Kiongozi gani mjasiri tuliekuwanae kama Ngoyayi Lowasa?
   
Loading...