Sisi watanzania tuishio mjini New York tumekerwa na kitendo cha waziri wetu wa mambo ya nje huko nyumbani Tanzania mseminaristi aliyepotoka(Bernard Camillius Membe) kwa kitendo chake cha kuunga...
Kupitia Dondoo za magazeti ya leo kuna habari inayomuhusu Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania (ACT), Dkt. Valentino Mokiwa,kulikoni wengine tuko mbali na magazeti tujuzeni?
Manake Askofu...
Wanachama wa CHADEMA Jimbo la Isimani wamefanikiwa kuchangisha "thumuni thumuni" kutoka kwa wanachama wao wa vijijini na kufanikiwa kupata Shilingi 250,000 kwa ajili ya kufanya operesheni maalum...
Naamini kabsa wote tunafaham mh rais jins asivyo aminika na watz, naye mwenyewe analifaham hilo, na wananchi hawampendi kabsa jinsi siku zinavokwenda (angalia tofauti ya matokeo ya 2005 na 2010)...
Hali ya nchi yawatisha maaskofu
Wakiri viongozi kuwatelekeza wananchi
na Datus Boniface
Tanzania Daima
MAASKOFU wakuu wawili wa makani ya Anglikana na Kilutheri Tanzania...
Mheshimiwa Kafumu alitoa Hotuba yake ya kwanza Jijini Dar. Hii ni baada ya kutangazwa Mbunge wa Igunga. Pia alikubali maandamano ya kwanza kumpongeza kufanyika Dar si Igunga alikokuita nyumbani...
MH Sitta ni kiongozi aliyefanikiwa kupita kwenye nyazifa mbalimbali ndani ya serikali ikiwemo uspika pamoja na uwazir,ni kiongozi ambaye amekuwa akitoa kauli nyingi ambazo binafsi hazitoi taswira...
Why, man, he doth bestride the narrow world
Like a Colossus, and we petty men
Walk under his huge legs and peep about
To find ourselves dishonourable graves...
William Shakespeare puts these...
Sunday October 23, 2011
By FINNIGAN WA SIMBEYE, 23rd October 2011 @ 13:00, Total Comments: 0, Hits: 332
SUSPENDED Geita Gold Mine (GGM) trade union Chairman, Aloyce Shigela and Secretary...
Leo Rais JK amemwapisha Dr Shein kuwa mjumbe wa baraza la mawaziri na kisha amehudhuria kikao chake cha kwanza cha baraza hilo tangu achaguliwe kuwa rais wa zanzibar mwaka jana. Hii ni kwa mujibu...
Tunashangazwa sana na kitendo cha wizara hiyo kushindwa kuhamasisha watanzania umuhimu wa kupigia kura mlima kilimanjaro,
kwa kweli inasikitisha kwa sababu watanzania wengi wameshindwa kujua nini...
The artist – not named because he is 'very nervous' – will be one of 15 people accompanying Charles and Camilla
Stephen Bates
guardian.co.uk, Thursday 13 October 2011 13.05 EDT...
Kwako Retired State Man!
nimekuwa nikikufatilia mara nyingi sana lakini kwa wakati wangu binafsi,
ulimaliza muda wako wa kuwaongoza watanzania kwa miaka 10,tulikuaga kwa heshima kabisa na...
Nawashauri vyuo vikuu vyote Udom,mzumbe,sokoine udsm mumuandalie El honourable Phds na kumtunuku mapema aitwe Dr kabla hajawa president ili tusiwe na mjadala juu u dr wake pindi atakapokuwa...
Wana Jamvi naomba kuuliza.
Nimeona matangazo mengi kuhusu kuupigia kura Mlima Kilimanjaro uwepo kati ya maajabu saba ya Dunia. Mimi kama mwenyeji wa mkoa huu na mkazi wa maporomoko ya mlima huo...
Waungwana
Dossier ya huyu mtu, Rostam Aziz, inahitajika haraka sana. Tunataka kumjua undani wake wote, kwani tunataka kum-expose. Inaonekana dhahiri kwamba yeye -- tangu enzi za Richmond --...