Kwa sasa serikali ya Tz na baadhi ya wananchi wapo katika pilika pilika za kusherekea miaka 50 ya uhuru wa nchi hii. Lakini kwa mtazamo wangu mimi ninaona bado hatujawa huru.
Kwa sababu...
Tarehe 12 January 1964 kulitokea tukio ambalo limeandikwa kuwa ni mapinduzi ya Zanzibar(Revolution).Nina mashaka yakuitwa mapinduzi badala ya kuitwa mageuzi ya Zanzibar.
Tukio hilo alifai kuitwa...
Kuna kila dalili kwamba CHADEMA hakitamsimamisha DR. SLAA kugombea Urais kupitia Chama hicho mwaka 2015 na kwamba mbadala wake anaandaliwa kutoka ndani ya CCM. Habari zilizopatikana toka ndani...
Watanzania tuelewe kuwa syndicate ya kula fedha za umma inaanzia kwa rais,mawaziri,makatibu wakuu,wahasibu kwenda kwa Halmashauri za miji.
Mambo yanaenda hivi: wakubwa kuanzia mkuu mwenyewe haibi...
Mambo yanazidi kukolea kuhusu sakata la Ricmond na Dowans mara baada ya waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Richmond Bw Edward Lowassa kumtaka aliwahi kuwa Mkurugenzi wa TBC1 Bw Tido Mhando...
Katika kampeni za uchaguzi wa mwaka 2005 Rais Jakaya Kikwete alitoa ahadi kedekede za kuwavutia wananchi. Maisha bora kwa kila mtanzania, kukomesha rushwa na kuondoa kero zote zilizokuwa...
Sunday, 30 October 2011 20:48 0digg
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh
Raymond Kaminyoge
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick...
Mon, Oct 31st, 2011
Mon, Oct 31st, 2011
Jerry Muro's Judgement Nov 30
Jerry Muro
The Kisutu Resident Magistrate Court has set November 30, this year to give its ruling on the case facing...
Wana JF
Naomba msaada juu ya kipindi hiki .Najua nyie si wasemaji ITV na hamfanyi kazi huko ila mnaweza kuwa na taarifa .Maana naona kila siku ni ni watu wa CCM pekee .Kwani miaka 50 hii ni...
Asema anaamini kuuawa kwake si sahihi
Ahofia yanayotokea Libya kuingia nchini
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amesema yeye ni miongoni mwa watu wanaoamini kuwa kifo cha Kiongozi wa Libya, Muammar...
Bakhressa akimpa Rais ''zawadi"
Bakhressa akimsomesha Rais
Rais Shein akifungua biashara ya Bakhressa
Wadau, wakati nchi bado ina kumbukumbu za karibu za vifo vya Watanzania...
Katika hali isiyo ya kawaida uvunjifu wa amani umeanza kutokea wilaya ya ludewa baada ya wanakijiji kuanza kudai fedha zao ambazo walizichanga kama fedha za kianzio katika miradi ya vijiji kumi...
Monday, 31 October 2011 20:38
0
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kushoto) akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Pius Msekwa (kulia) na Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Dar es...
Kamati ya kudumu ya Bunge la Muungano wa Tanzania ya Katiba, Sheria na Utawala ikiwa imekaa kwenye ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam kujadili yasimu ya marekebisho ya ya mswada wa kutunga...
Wakuu tutajadili sana utendaji mbovu wa askari wetu wa Jeshi la Polisi na upande mwingine tatizo la wananchi kutojua haki na wajibu wao...lakini katika hili la utendaji mbovu wa polisi, huwezi...
Ndugu zangu wana JF, kwa wale watakaojaliwa kuwa na pumzi ifikapo tarehe 9 Disemba 2011, ni kauli ipi itakuwa sahihi kwako kama watanzania?
Mwaka huu tunasheherekea Miaka 50 ya uhuru (wa...
baada ya misukosuko mingi,maandamano ya kumtaka ajiuzulu,mfumuko wa bei na hali mbaya ya uchumi.hatimaye mkulu anatimiza mwaka mmoja wa ngwe ya pili ya uongozi wake.
Katibu mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa amesema Chadema haitambui mswada wa mchakato wa katiba mpya kwani umechakachuliwa na bado umempa madaraka makubwa Rais kuingilia mchakato huo. Dr Slaa...
Mon, Oct 31st, 2011
| Tanzania
Mon, Oct 31st, 2011
PRESIDENT Jakaya Kikwete (right) speaks during a joint press conference at the end of the Commonwealth Heads of Government Meeting in Perth...