12-01-1964 Zanzibar !? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

12-01-1964 Zanzibar !?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alexism, Nov 1, 2011.

 1. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Tarehe 12 January 1964 kulitokea tukio ambalo limeandikwa kuwa ni mapinduzi ya Zanzibar(Revolution).Nina mashaka yakuitwa mapinduzi badala ya kuitwa mageuzi ya Zanzibar.
  Tukio hilo alifai kuitwa mapinduzi kabisa kwani mapinduzi ni kitukingine sana.Hakuna nchi ambayo ilifanya mapinduzi alafu ikabaki maskini.Tunayo mifano hapa Afrika kama Libya na Asia mfano China,N.Korea,October Revolution ya Soviet na Cuba name it.
  Tangia tukio hilo Wazanzibar ni maskini tena wakutupwa kwani mapinduzi mantiki yake nikuleta maendeleo na mabadiriko kwa maisha ya mwanadamu.Naomba tutafakari hili kama kweli tukio hilo linapaswa kuitwa mapinduzi au mageuzi sura na kabila za uongozi.
   
 2. B

  Bishweko JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Think well before posting your damn shit!!Ujui ata maada ya mapinduzi au shule ujaenda ?
   
Loading...