CHADEMA bila Dr Slaa inawezekana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA bila Dr Slaa inawezekana?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Nov 1, 2011.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kuna kila dalili kwamba CHADEMA hakitamsimamisha DR. SLAA kugombea Urais kupitia Chama hicho mwaka 2015 na kwamba mbadala wake anaandaliwa kutoka ndani ya CCM. Habari zilizopatikana toka ndani ya CHADEMA zinasema, uongozi wa Chama hicho hauridhishwi na utendaji kazi wa Katibu Mkuu huyo kwa kile kinachosemekana kwamba anaingilia shughuli za Chama ngazi za chini kwa mfano MKOA WA KILIMANJARO, uongozi ngazi ya Wilaya na Mkoa hususani BAZIL LEMA, PHILEMON NDESAMBURO, na LUCY OWENYA wanamlalamikia Dr.SLAA kuendesha uchaguzi katika Kata ya NJORO bila kuwashirikisha , ambapo JOHN JOMBA NKOY alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kata ya NJORO na ABDULRAHMAN YUSUF SHARIFF kuwa Katibu. Aidha Dr. SLAA alijaribu kulipa deni la CHADEMA linalokadiriwa kuwa Tsh. Mil.94 kwa TRA, kitendo ambacho Uongozi wa Chama uliona kama huko ni kujipendekeza kwani kuna madeni mengi tena makubwa ya kulipa hasa yale ambayo anayedai ni Mwenyekiti au swahiba zake. Swali ni, je huwenda ukawa mwisho wa Dr. SLAA ndani ya CHADEMA?MAONI YANGU: Watakuwa hawajamtendea haki Dr SLAA kwa vile ni yeye aliyeng’arisha nyota za watu wa aina mbalimbali na hata Chama kikapata idadi kubwa ya wabunge na kufakiwa kuunda kambi ya upinzani bungeni. Toa maoni yako.
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ili mradi sasa hivi hamuwezi kulala bila kuota CHADEMA! kweli mmekamatwa pabaya.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  HIZO DALILI UMEZIPATA WAPI?
  Lete mambo yenye vyanzo rasmi!
   
 4. Josephine

  Josephine Verified User

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Very Good,tell them to do fast as they can.Ila siku nyingine acha majungu.
   
 5. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  vipi ukilala unamuota dr slaa .nani kakutuma kuleta mada hii isio na kichwa wala miguu,,,,cdm inakuwa kila kitu wabunge diwani na ruzuku na kura zinaongezeka kila chaguzi ,,,,kamuulize nape mjipange kwanini perfomance ya ccm inashuka?
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,175
  Likes Received: 2,177
  Trophy Points: 280
  Mkuu inaonyesha uko vizuri sana katika kusoma dalili za kutokea vitu, hebu nisaidie kitu kimoja hapa. Mke wangu anaanza paper za NBAA kesho vipi kuna dalili zozote kwamba atafaulu? na kwa kiwango gani?
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Na wewe nawe ni Great Thinker?

  Kama kila mtu anaamka kitandani na kupost pumba zake za humu sidhani kama tunajadili mambo ya msingi!

  tetesi zingine za kwenye mbege tu.
   
 8. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yawezekana mimi uelewa wangu mdogo kuhusu haya madudu uliyoandika, Je wew unadhani ni kiongozi yupi toka CCM ambaye anaweza kuja kuinajisi CDM ili apigiwe kura na vijana wazalendo wa Tz? Hata kama amengilia hayo mambo kwani kazi ya katibu mkuu kwenye chama ni nini? Nahisi hiyo source yako ya hizi taarifa imeharibiwa na Virus, so jaribu kuiupdates.
   
 9. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Peleka majungu hayo kwa wapumbavu wenzako sio hapa kenge usie na maana!
   
 10. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Dalili,dalili,dalili,dalili,ndio zinazokuongoza katika maisha yako kuliko hali halisi?
  Mhm!Kama ni hivyo kuna kila dalili kuwa una matatizo ya mtindio wa ubongo.
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ivi kwann cdm taifa iingilie maamuzi ya ngaz za kata na wilaya?hakuna chain of command ya kueleweka?
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  the only problem you have is that you works on rumors!
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  toa hoja. Matuzi kwani wewe ni mbwa?
   
 14. Gwallo

  Gwallo JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 2,323
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Hiyo tabia ya kata, kijiji , taifa ndiyo systems za ccm, CDM hatuna mtindo huo,acha kata, kiongozi wa taifa anaweza hata kufungua shina la wakereketwa lenye watu sita tu basi.
   
 15. CR wa PROB

  CR wa PROB Senior Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Nilizani una akili vizuri ili uteteee thread yako kumbe huna lolote, jipange upya mkuuu hapa hapawekwi madudu!!
   
 16. M

  Marytina JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hizi ni stori za kwenye vibaraza vya misikiti
   
 17. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama unapata usingizi bila kumeza piriton
   
 18. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,987
  Likes Received: 691
  Trophy Points: 280
  Kazipata kwenye siku zake.
   
 19. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ndiyo hawa NYERERE alisema. Hivi ukimuona Slaa mtaani na Mama yako utasema "kuna dalili kuwa Dr. Slaa atakuwa baba yangu wa kufikia....."

  Nyerere kweli alijua sana kuwapa watu maneno yake. Waandishi uchwara wa Kenya wakaufyata.
   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,987
  Likes Received: 691
  Trophy Points: 280
  Hahahahaa!!
  Manina zake za jumla! Wewe bana!
   
Loading...