Kipindi hiki ni kwa wana CCM na hasa Serikali pekee? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipindi hiki ni kwa wana CCM na hasa Serikali pekee?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Oct 31, 2011.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wana JF
  Naomba msaada juu ya kipindi hiki .Najua nyie si wasemaji ITV na hamfanyi kazi huko ila mnaweza kuwa na taarifa .Maana naona kila siku ni ni watu wa CCM pekee .Kwani miaka 50 hii ni lazima mawaziri pekee na watu walioko serikali ndiyo wanatakiwa kuwepo ? Wapinzani wao lini watapewa nafasi kuongelea miaka 50 ? Hiki kipindi mbona sijawaona akina Mnyima huko ? Ni ghali sana kwao au ni maalumu kuelezea upande mmoja tu ?

  Msaada wenu naomba tafadhali .
   
 2. R

  RMA JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi kabisa! Tesekeni hadi mtakapoacha ushabiki wa Yanga na Simba katika siasa! Mnanapiga kura kama vipofu, halafu mnalalama kama kama vichaa!
   
 3. k

  kinyongarangi Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kipindi kinaboa sana. hata mwandaaji ni mchovu mno na hana maswali ya kidadisi. Huyo sijui Mwandaaji sijui Munyu katoka wapi?????. hana mvuto
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Apa Tanzania hakuna mtu anaeitwa mnyima...nadhani kuanzia sasa sisi ndio tuwe tunapendekeza wazungumzaji tunaowataka.
   
 5. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,859
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Hii TV imekosa Creativity!! Duh Lakini Tanzania ni Zaidi Tuijuavyo!! Kila kitu Kinakwenda Harijojo!! Hata Sector Binafsi Nayo Imekuwa influenced By Poly Trics!!
   
Loading...