Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Said Bakhressa aanza kuwasogelea wanasiasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bu'yaka, Oct 30, 2011.

 1. Bu'yaka

  Bu'yaka JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 546
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  [​IMG]
  Bakhressa akimpa Rais ''zawadi"  [​IMG]

  Bakhressa akimsomesha Rais  [​IMG]

  Rais Shein akifungua biashara ya Bakhressa


  Wadau, wakati nchi bado ina kumbukumbu za karibu za vifo vya Watanzania kwa kupinduka kwa meli ambapo serikali ilibeba lawama ya kutokusimamia kanuni, taratibu na sheria za uendeshaji wa vyomo vya majini, serikali kupitia Rais wa Zanzibar, imekimbilia kwenda kukata utepe kufungua biashara ya mtu . Nchi za wenzetu ni vigumu sana kumpata Rais kwenda kufungua biashara ya mtu.

  Serikali isilale kitanda kimoja na wafanyabiashara, iwakunjie uso wamiliki ili iweze kuwaratibu,
  sio kupewa "zawadi" na kuwachekea chekea.

  Je ni alama ya kuja kuchafuka kwa the last don of Tanzania business elite, Said Salim Bakhressa?
   
 2. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 6,548
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Nadra sana kumuona Tajiri huyu.
   
 3. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 1,910
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  Hawana pa kukwepa!! hao ndiyo wafadhili wa kila kitu mkuu!! serikali imebaki kuomba omba kila kitu hata kile inachoweza kukipata kwa kusimamia kanuni na taratibu, nacho kimeshindikana!!
   
 4. Waberoya

  Waberoya JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 8,710
  Likes Received: 926
  Trophy Points: 280
  HUO UTEPE NI CHADEMA JAMANI...ili ni tusi kwa CCM...Hongera Bakhresa....

  aisee.

  [​IMG]
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,504
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  dah, jamaa anaonekana bado kijana.

  mpaka jamaa akafikie umri wa kina Sabodo, Tanganyika itakuwa imebaki magofu
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwanini?
   
 7. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,203
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  popote pale penye ubepari, mfanyabiashara/tajiri anamremote mwanasiasa
   
 8. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,774
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mi ndo namuona leo, huwa hajionyeshi hata kidogo,
   
 9. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,066
  Likes Received: 498
  Trophy Points: 180
  waberoya umerudi?

  karibu tena maana nakumbuka siku uliopoaga kwa jazba
   
 10. Wun

  Wun JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2011
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 351
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi mwenyewe namuona leo kwenye picha
   
 11. i

  iMind JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,847
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 180
  Hivi simbion power ni ya serikali ya marekani. Nafikiri mfanyabiashara mkubwa kama SSB haitaji tu support ya wanasiasa bali wananchi wote wazalendo, kwani licha ya kutoa ajira ndo anatulisha daily.
   
 12. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 10,053
  Likes Received: 1,378
  Trophy Points: 280

  To temptation slow cold unmoved
  they do rightly inherit the world.
   
 13. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #13
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 1,703
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Pia ifike wakati serikali inapotaka kuingia mikataba na wawekezaji hasa wa nje wawaalike wafanyabiashara wa aina ya S.S.B in negotiations kuliko hawa maofisa wa serikali pekee ambao hata biashara ya kiosk hajawahi wala hawezi kuiendesha
   
 14. mluga

  mluga JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 678
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni hulka ya wanasiasa wa Zanzibar, kwani mmesahau aliyemtajirisha huyu jamaa? si Mzee Ruksa
   
 15. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #15
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  popote pale penye ubepari, mfanyabiashara/tajiri anamremote mwanasiasa
   
 16. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,656
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Unamaanisha nini hapo kwenye bold mkuu?
   
 17. Mipangomingi

  Mipangomingi JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,619
  Likes Received: 780
  Trophy Points: 280
  Nadhani hivi, breakfast=mkate wa ssb,sembe=ssb,nazi=ssb,ngano na products zake=ssb,ice cream=ssb,juice=ssb,azam cola=ssb just kwa uchache,vp hapo utatoka mkuu?
   
 18. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,843
  Likes Received: 2,044
  Trophy Points: 280
  ​hivi jamaa anagekua muuza syuuura sijui ingekuaje
   
 19. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,280
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Rais anapopokea zawadi hadharani kutoka kwa mtu tajiri inaonyesha alama gani?
   
 20. Bu'yaka

  Bu'yaka JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 546
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Pointi yangu ni hii: Kwanza, sipendi kuona wafanyabiashara wanajisogeza kwa wanasiasa, inaleta harufu ya influence peddling and corruption. Bakhressa ameni dissapoint.

  Pili, kwa upande wa serikali, si vizuri kwa Rais na serikali kujikita katika kukata tepe za kufungua biashara za watu binafsi. Kwa nini? Kwa sababu serikali inategemewa iwasimamie wafanyabiashara kuhakikisha wanatafa taratibu na sheria. Serikali inapopokea zawadi kutoka kwa mfanyabiashara hii inaleta aina ya mgongano wa kimaslahi. Mtu anakupa zawadi utamwambia nini?

  Katika mazingira ambayo kila uchwao vyombo vya kusafiria vinaua raia kama vita vya dunia sitegemei Rais wa Zanzibar mara hii ameshasahau ya kuchunguza ajali ya MV Spice Island anaende kufungua li-meli lingine, mwache Bakhressa mwenyewe afungue meli lake. Wewe simamia taratibu za kisheria katika biashara hiyo, sio akupe zawadi umkatie utepe.

  Sasa kwenye hilo kabrasha Rais Shein kafungiwa nini, suti?
   
Loading...