Tuhuma toka WikiLeaks: AL BAWARDY wajibu mapigo


K

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2008
Messages
887
Likes
33
Points
45
K

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2008
887 33 45
Ukisoma kwa makini hawa jamaa hawajakana kutoa mchango kwa CCM, ila kwamba CCM haijawahi "kuomba mchango"kwao.Smart move lakini tumeigundua.
 
K

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2008
Messages
887
Likes
33
Points
45
K

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2008
887 33 45
Na kama unapata hasara hivyo kama unavyojitetea kwa nini unaomba vibali vya kujenga mahoteli mengine? ni kutokana na moyo wako wa huruma kwa Tanzania au?
 
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Messages
4,017
Likes
703
Points
280
Ndjabu Da Dude

Ndjabu Da Dude

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2008
4,017 703 280
OK. Angalau Mzungu Lisa Pile amekanusha kuelewa "hata neno moja la Kiswahili". Vinginevyo, hata maana halisi ya "flashy suits" nayo vilevile inaleta utata. Suti hiyohiyo ya Savile Row akivaa Prince Charles na Prince Harry, no problemo. Lakini akivaa JK au Chiluba (RIP), inakuwa mucho problemo; wakati ukweli ni kwamba wafadhali wa suti hizi za bei mbaya ni walipa kodi iwe UK, Zambia au Tanzania.
 
K

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2008
Messages
887
Likes
33
Points
45
K

Kwame Nkrumah

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2008
887 33 45
OK. Angalau Mzungu Lisa Pile amekanusha kuelewa "hata neno moja la Kiswahili". Vinginevyo, hata maana halisi ya "flashy suits" nayo vilevile inaleta utata. Suti hiyohiyo ya Savile Row akivaa Prince Charles na Prince Harry, no problemo. Lakini akivaa JK au Chiluba (RIP), inakuwa mucho problemo; wakati ukweli ni kwamba wafadhali wa suti hizi za bei mbaya ni walipa kodi iwe UK, Zambia au Tanzania.
Sijakuelewa.
 
N

Ngereja

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2007
Messages
797
Likes
28
Points
45
N

Ngereja

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2007
797 28 45
Wanataka kutuaminisha kwamba mazungumzo kati ya Balozi na huyo Pile yalifanyika kwa kutumia lugha ya Kiswahili, kitu ambacho nadhani siyo kweli. Wikileaks haijaonesha mahali popote kwamba lugha ya mawasiliano ilikuwa kiswahili. Kutokujua lugha ya Kiswahili siyo sababu kwamba mazungumzo hayakufanyika. Na sidhani kama kulikuwa na haja ya Balozi kutumia lugha ambayo hata yeye pengine haifahamu (?).

Taarifa hii nayo ni utata mtupu wa kujikanganya.
 
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
12,581
Likes
836
Points
280
Kaunga

Kaunga

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
12,581 836 280
Ulitegemea wangekubali? Kwani kuna rekodi kwenye vitabu vyao inayoonesha mkuulu alipanga chumba pale?
Au wangeandika bribe money as bribe to somebody in their books!
Kutakuwa na ukweli hata kama ni 70%. Na hiyo iliyobaki yaweza kuwa exageration kwani mara nyingi mtu anaposimulia kitu huongeza chumvi. Suppose kaongeza chumvi, swali ni WHY? Jibu rahisi ninalolipata ni kudharauliwa kwa huyu mtu na watu anaojipendekeza nao, kwangu mimi ni kashfa kubwa tu hiyo!
 
U

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Messages
6,947
Likes
13
Points
0
U

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2010
6,947 13 0
I like these crisis management tactics za Magogoni.

Nategemea kusoma upupu mwingine hivi karibuni wenye malengo ya KUOKOA SURA hapa lakini ndio hivo wamechelewa sana na kubaki kujiumauma na maneno zaidi ya elfu mbili kidogo kuelezea tu punje la wazo.

Naona designer suite zimeshakua taabu sasa watu kupiga bei hadi Mahakama Kuu ya nchi!!!!!!!!!!!
 
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Likes
118
Points
0
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 118 0
AL BAWARDY inaonekana nao ni amateurs when it comes to media tactics. These guys kama walivyo SALVA & PREMMY wamelala. they've forgotten that when a crisis hits, minutes are money. When your reputation and financial worth are tanking, speed should be NO 1 priority.

They (Salva & Co) should have been mindful, although in their eyes wanajiona the're moving fast, but they should have been more mindful of their every move. One would have thought by now Premmy, Barwady & Co should have understood the reason why a crisis is called a "defining moment" - and for this reason they should have 'thought' first, and 'do' second in this WIKILEAKS fall out.

And this guys who claims to have worked for Mr Ali Bawardy for over 30 years cant even spell SAVILE ROW...wao wameandika SAVILLE ROW tena mara kadhaa!

These guys should have learned from "NSSF war rooms" and where they understand that sometimes conventional PR is just not enough. Lightning-fast and ruthless in combat, NSSF understood that Tanzania's un regulated media and their mickey mouse journalists takes no prisoners when it really hits the fan. Strategic moves is their speciality and, with instinctive forward planning, their media team always guided them safely through the twists and turns of a media inquisition and now they can predict, counter and take advantage of upcoming developments while they are on their top game when it comes to taking control and managing the news agenda....contrary to our friends in Magogoni ambao wanasubiri Jamii Forum i set the agenda kisha wao wanafuata kama mbuzi vile. I mean what's so difficult kuanzisha website na wakapost hizi releases zao online so they sould spare our the embarrassment ya kukutana na hawa ma supermarket journalists tulionao?
london-savilerow4.jpg
This is the right spelling
 
Kombo

Kombo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Messages
1,818
Likes
14
Points
0
Kombo

Kombo

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2010
1,818 14 0
Naona wanajikanyaga tu hao, hakuna kitu hapo. Lisa anadai hajawahi kuwa na "private access" na Rais wa Tanzania wala Rais yeyote duniani, amesahau kuwa JK anayezungumzwa wakati huo alikuwa Minister for Foreign Affairs (walau angetambua na kukanusha hilo)

Naona Mkapa na Zakia Meghji wanatajwa kuwa ndiyo walikuwa Rais na Waziri wa Maliasili, hivi kwanini Balozi asiwataje hao kuhusika na Rushwa?

Utetezi haujitoshelezi, kuna kila dalili ya kuwepo msukumo wa Ikulu kwa Al Bawardy na wenzake kujibu allegations hizo kwa namna walivyojibu. Tofauti ya statement ya Salva na hizo ni "tishio la kuchukua hatua nk." mengine yote ni usanii tu!
 
Nyambala

Nyambala

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2007
Messages
4,470
Likes
30
Points
135
Nyambala

Nyambala

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2007
4,470 30 135
Wow! Utabiri wangu unaendelea kutimia!!!!!
 
O

Omr

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2008
Messages
1,160
Likes
3
Points
0
O

Omr

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2008
1,160 3 0
Kwani hizi habari zimeletwa na Chadema au wikileaks. Au siku hizi wikileaks ni Chadema? Na wewe katafute obsession nyingine.
ni watu wenye akili za kibangi bangi ndio wanaofanya hii habari kuwa dili, yani hii stori ya suti ndio mnaoitumia kutafuta umaarufu. kweli mlishafilisika ki mawazo.

Swali: yule muhindi alietoa pesa za kampeni chadema alimpakata nani? Milioni mia haziwezi toka kiulani tu, lazima kuna kitu kapewa.
 
U

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Messages
6,947
Likes
13
Points
0
U

Uwezo Tunao

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2010
6,947 13 0
Kumbe huyu jamaa keshabainika wazi kwamba kamejifungia kwenye kaa-chumba fulani na vijizawadi za kumwaga eeeehhh?? Hebu tupe zaidi bwana Omr juu ya hilo kabla ya pendekezo lako la Dokta wa Ukweli naye akaenda huko.

Lakini kwanini pendekezo lako iwe tu ni Dokta Slaa au imegundulika huko Magogoni kwamba kila baya kwenu ni yeye tu wala si mwingine???????

Labda slaa na yeye aende chumbani kwa huyo mwarabu, labda atapata zawadi
 

Forum statistics

Threads 1,237,360
Members 475,533
Posts 29,285,833