Siasa, ahadi hewa, rushwa zimeua miundombinu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa, ahadi hewa, rushwa zimeua miundombinu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Majoja, Nov 2, 2011.

 1. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Katika magazeti karibu yote leo 2/11/2011 yana habari nzito za serikali kudaiwa na makandarasi kiasi cha Tshs 425billion kwa miradi ambayo kimsingi ni "hewa".
  "Hewa" hii imetokana vipi?
  Hii hewa ni ahadi lukuki zizotolewa kabla tu ya uchguzi wa mwaka 2010.Miradi hiyo ilibuniwa na aliyekuwa bosi wa TANROADS wakati huo Ephraim Mrema.
  Kuna tetesi vile vile kuwa karibu miradi yote hiyo walipewa kampuni za Kichina, na wakatolewa michuzi ya uhakika baada ya kupewa malipo ya awali.Masikini Wachina hao sasa ni karibu mwaka hawajui watalipwa vipi.
  Ukimya wa Waziri machachari Dr Pombe Magufuri juu ya sakata hili ni dalili tosha kuonyesha kuwa bomu hilo ni kubwa, na kwamba kuna wakubwa wengi tu wanahusika.

  Hili bome la madeni litaisumbua serikali kwa muda mrefu tu ukitilia maanani kuwa hali ya uchumi na ukusanyaji wa mapato ni wa kusua sua.


  By DAILY NEWS Reporter, 1st November 2011 @ 22:00,

  ELEVEN road projects worth 425bn/- have stalled due to government's failure to pay contractors, it was revealed on Tuesday.

  Briefing journalists after a closed-door meeting at Bunge offices in Dar es Salaam on Tuesday, Chairman of the Parliamentary Committee on Infrastructure, Mr Peter Serukamba said the MPs have urged the government to expedite payments to the contractors for work on the projects to resume.

  Earlier, the Tanzania Road Agency (TANROADS) made a presentation on the status of road projects to the MPs.

  Mr Serukamba said six more projects have slowed down while seven contractors have expressed interest to temporarily suspend their projects until the government pays them.

  "The government has no other option but to pay the contractors, even if it means borrowing funds. My committee plans to meet with the Prime Minister (Mizengo Pinda) and bring up this matter before things get worse," Serukamba said.

  He said officials from the Ministry of Infrastructure Development told the MPs that they hoped to get funds from treasury and were working on the issue as a matter of urgency.

  Projects that have been suspended include Sumbawanga-Kanazi, Kanazi-Kizi-Kibaoni, Lwanjilo-Chunya, Bariadi-Lamadi, Kagoma-Lusahunga, Tabora-Ndono, Ndono-Urambo, Jet Corner -Vituka-Davis Corner, Ubungo Terminal-Kigogo-Kawawa and Kawawa-Msimbazi-Twiga.

  Projects that are being implemented but at a slow pace include Marangu-Rombo Mkuu, Sumbawanga-Kasanga, Magole-Turiani and Korogwe-Handeni.

  Others are Kagoma-Lusahunga, Isaka-Ushirombo, Singida-Katesh, Kitumbi-Segera-Tanga, Bagamoyo-Msata and Mkata-Handeni. The list also include Nzega-Puge, Tabora-Nyahua and Mwanza-Musoma projects.

   
 2. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Rushwa, kujuana, na kutoa kazi kwa kampuni za watu walio kwenye position za kufanyia kazi tender kunaifanya construction sector iwe inatia mashaka mashaka kwa kila hatua. We need to change the approach kama tunataka kufika tunakokwenda
   
 3. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  PESA ZA POSHO ZAO ZIPO 100% ...ila za maendeleo zinategemea walipa kodi wa ulaya...! SHAME SHAME..!
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180

  Au aikili yangu imeshindwa kujua maana ya 'miradi hewa' nini? Ngoja nirudie kusoma tena pengine ntaelewa!
   
 5. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu hewa ni pamoja na miradi ambayo ipo ipo tu.Haina bajeti wala fedha za kuilipia.
   
Loading...