Busanda kuna mbunge? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Busanda kuna mbunge?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kimboka one, Nov 1, 2011.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  wadau nisaidie pale busanda pamepoa sana wkt ndilo eneo linaloibukia kwa madini japo hawajaweka wazi.nipenda kumfahamu huyu mama
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Aisee chalii, Mbunge yupo, ni mama Bukwimba. Unategemea aseme nini yule broda?
  Serikali iliahidi mengi sana pale wakati wa uchaguzi mdogo na wakati wa kampeni kuu za uchaguzi wa 2010...
  Nakumbuka walimwaga nguzo za umeme kila mtaa, ambapo mara baada ya uchaguzi kupita walizisomba zote na kuzipeleka mikoa ya jirani!
   
 3. mamaWILLE

  mamaWILLE Senior Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ukiwa na mbunge ambaye kila kitu Ndio, Yes, Sawa, Haya, Tunamikakati, Tunamipango, Tunaratibu huwezi kusikia akitetea rasilima watu hata ckumoja. Atakuwepo tu kama kiazi kinasubiliwa kuliwa. Watu wa busanda amkeni acheni ubumbumbu
   
 4. D

  Dopas JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda kwenye red. Hiyo safi sana. Wanabusanda wasubiri wataoneshewa tena hizo nguzo uchaguzi wa 2015 utakapokaribia.
   
 5. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sikutaka kujadili maada hii,lakini kwa uzito wa swali inanilazimu na mimi niwe sehemu ya mjadala huu.Kikatiba kuna mbunge mama LOLENSIA BUKWIMBA(CCM),alimshinda Ndg.FINIAS MAGESSA (CHADEMA)kwnye chaguzi mbili mfululizo.
  Mama huyu hana sifa ya kuwa mwanasiasa hajui kujenga hoja wala kutetea maslahi ya wananchi wake. bahati nzui nimehudhuria mkutano wake na nilicho ambulia ni kuona vikundi vya ngoma. Mama huyu kwenye uchaguzi uliopita aliahidi mambo mengi sana ikiwemo kero sugu ya umeme.

  Na ni kweli nguzo za umeme zililetwa na akina ngereja pale katoro(makao makuu ya jimbo-ngome ya chadema) ili kuawapumbaza wananchi,bahati mbaya wananchi bado wanaamini kupewa umeme ni msaada na siyo jukumu la serikali hivyo baada ya uchaguzi CCM ilishinda na huyu mama mkazi wa MIKOCHENI akatangazwa mshindi.

  zaidi ya miaka miwili aliyo shika madaraka hakuna hata kimoja anachoweza kujivumia. Mimi ni mmoja wa wakosoaji wake wakuu na siku zote nimekuwa na sisitiza kuwa huyu mama hawezi kuongoza jimbo hili siyo kwasababu ni mwanamke bali hana uweza wa kupambana na changamoto zinazowakabili wanabusanda ambao wengi ni masikini lakini wakiwa wanazungukwa na madini kila upande.

  Mama huyu badala ya kufuata ule usemi usemao "IF U CAN'T BEAT THEM,JON THEM, yeye ameamua kujenga fitina na watu wa katoro ambapo ni ngome imara ya CDM ambapo kwenye uchaguzi mkuu uliopita Rais,mbunge na diwani wa CCM hawakushinda hata kituo kimoja( hapa daima CCM imekuwa chama cha upinzani).

  Kazi yake imekuwa kukaa MIKOCHENI na akiamua kuja huku jimboni anaenda vijijini ambapo akigwa vijisenti kidogo tu basi,lakini anogopa kwenda katoro kwa watu wenye uelewa mkubwa kwa hofu ya kuulizwa maswali mepesi asiyo weza kuyajibu.

  Kudhihirisha udhaifu alionao,hadi mda huu ninapoandika mbunge hana ofisi,jaribu kufikiria ni kwajinsi gani ataweza kuwatumikia wananchi wake kwa ufasaha bila kuwa na ofisi? ni ajabu sana tena..! kingine cha ajabu ni yeye kuona jimbo zima la BUSANDA hakuna mtu wa kumuajiri kuwa katibu wake,yeye akaamua kwenda kwa Diwani wa kata ya kaseme(CCM) mh.masoud kwa katibu wake,hapa napo kuna maswali ya kujiuliza;
  kwanza Masoud ni diwani hivyo anahitaji mda wa kuwatumiakia wananchi wake,pia Masoud anakaa kata ya mbali sana kutoka yalipo makao makuu ya Jimbo(Katoro) kwa hoja hizi dhaifu unaona ni kwajinsi gani mbunge huyu asivyo makini na hata mapungu yake yanakosa wakuyaziba.
  Maana wabunge wengi wanakaa mijini lakini wanakuwa na makatibu ambao wapo active hata pengo la mbunge halionekani,ukienda ofisini unamkuta katibu unaeleza shida yako, mbunge anapigiwa simu(ndiyo mtindo wa sasa kuongoza jimbo kwa simu---refer J.Makamba) tatizo linatatuliwa siku zinasonga,lakini kwa busanda nikama jimbo lipo wazi:  Nimeamua kusema haya kwa ufupi kwasababu ni mdau mkuwa wa jimbo hili, na siyo kwa sababu nategemea kuomba ridhaa ya kuliongoza jimbo hili hapo 2015 kupitia CDM(Mungu akipenda)
  KWA VYOVYOTE ITAKAVYO KUWA 2015 BUKWIMBA ATEGEMEE KUNI-FACE
   
 6. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Busanda iko wapi?
   
 7. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  chief lugina asante sana mkuu,kwa taaluma hiyo.hivi pale hakuna kijana anaweza kufanya kazi? Mpk ccm wanaweka huyu mama.bora ata wakati wa kabuzi
   
 8. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,410
  Likes Received: 1,968
  Trophy Points: 280
  hapo inafaa 2015 apelekwe mwanamama kama taarabu anajibiwa taarabu akifunga lemba la ghana unajibu mapigo na la nigeria.
   
 9. n

  nkomelo JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  vijana wapo ndg yangu, sema kule busanda kunahitajika mkakati mpya naamini itatokea. Hakuna kitu kinauma kama mbuge kuishi nje ya jimbo na akiwa jimboni hana ofisi, mpigie simu hapokei sms hajibu what does that imply? Inauma sana kule nyarugusu kumetokea mapambano ya wachimbaji na polisi wala hakutokea, kule nyakagwe mwaka jana kulisemekana watu waangukiwa na mashimo, dada yetu hakutokea. Ukiwa mwana busanda utaona ilivyokazi kusonga mbele with this kind of MP, maana hataki kukosoa serikali hata inaponyanyasa watu wake. (kama ni kumbembeleza uwaziri not kwa style hii ya kuangalia mambo bora yaende)by the way For how long should busanda hold on and wait for CDM leaders who come out of busanda to talk about busanda's issues na wanabusanda walichagua mbunge?
   
 10. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeamua kusema haya kwa ufupi kwasababu ni mdau mkuwa wa jimbo hili, na siyo kwa sababu nategemea kuomba ridhaa ya kuliongoza jimbo hili hapo 2015 kupitia CDM(Mungu akipenda)
  KWA VYOVYOTE ITAKAVYO KUWA 2015 BUKWIMBA ATEGEMEE KUNI-FACE

  Big up mkuu tukopamoja, ni uamuzi wa Busara sana.
   
 11. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hongera sana kiongozi hayo ndy maneno.k
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  We sahau mkuu,mama yuko likizo.
   
 13. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,394
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  Wana-Busanda walikubali kuhongwa wali, chumvi, kapelo, tsheti na khanga. Tunawatakia maumivu mema hadi 2015 labda akili zenu zitakuwa zimeota vya kutosha.
   
Loading...