Hili la Arusha - Tatizo la CCM kuwaachia polisi wafanye kazi ya siasa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili la Arusha - Tatizo la CCM kuwaachia polisi wafanye kazi ya siasa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bolivar, Nov 2, 2011.

 1. B

  Bolivar JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kazi za kisiasa sharti zifanywe na wanasiasa. Polisi hata siku moja hawawezi kufanya kazi za kisiasa kwa ufanisi! ccm kama chama cha kisiasa kimewaachia polisi wakifanyie kazi zake za kisiasa na kazi kubwa sasa hivi kwa ccm ni kukabiliana na CHADEMA. ccm inaamini mabavu yatasaidia katika kukabiliana na CHADEMA kwamba utawapiga watu virungu, utawabambika kesi, na kuwatisha tisha, kuiba uchaguzi na kadhalika. Mbinu hizi zinaweza kufanya kazi kwa kipindi fulani tu wakati hali si mbaya sana. Katika kipindi hiki ambapo Watanzania wanaona uporaji unaofanywa mchana kweupe, serikali iliyoshindwa kuongoza ugumu wa maisha na matatizo mengine kibao kamwe hawawezi kutishika!

  Hivyo mbinu zinazotumiwa na polisi kufanya kazi ya ccm haziwezi kufanikiwa, matatizo/changamoto za kisiasa hujibiwa kisiasa kujificha nyuma ya kivuli cha dola na kuwaachia polisi wafanye kazi za kisiasa hakutafanya kazi kwamwe. ccm tokeni mjibu hoja za wananchi, matumizi ya mabavu (nyuma ya mgongo wa jeshi la polisi) hayatawavusha hapa. Mnategwa kisiasa mnaingi wazima wazima,

  Hivi hakuna wanasiasa ccm?
   
 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  CCM haina uwezo tena wa kushawishi watu kwa hoja kama viongozi wenyewe
  ni hawa kina Nape wanaosema watawashikisha vijana ukuta unategemea nini.
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,776
  Trophy Points: 280
  Tangu CDM ishinde kiti cha ubunge arusha, kuna fungu kubwa la kuhonga polisi na usalama wa taifa linatoka TANAPA na OCD ni kilaza analipwa kuzuia ukweli na haki kutendeka, tarehe 14 kesi hii ya Lema itasomwa na kuanzia tarehe iyo court of appeal session zitaanza mahakamani hapo pia, naamini ulinzi utakuwa mkubwa ila maana ya nguvu ya umma ni dola kuzidiwa nguvu. OCD Zuberi ataona mapichamapicha ya Kitaliban.
   
 4. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  fafanua mkuu
   
 5. T

  Topical JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Watu wa Arusha wanaongoza kwa mihehuko ya kisiasa na kuchagua wabunge below standard

  Waliwahi kumchagua Makongoro NCCR nyerere akawashangaa

  Wamemchagua Lema nafikri ni below standard kwa standard ya mji ule wa kitalii na kimataifa

  Waliweza kumchagua mbunge moja tu mwenye Akili "Abdulrahman Kinana"
   
 6. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  kila kitu kina hatua zake katika maisha, na hili kifikie hatua nyingine ni lazima kipitie hatua za awali.
  Chama chochote kikifikia hatua za mwisho (kufa) huwa dalilii mojawapo ni kuwatumia polisi na majeshi.
  Sasa wewe si ni wakati wako wa kufurahi ukiona hatua ya sasa walipofikia!!??
   
 7. J

  Japhet Mosi JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Topical una akili sawa kabisa na Dedam; Ritz na Ngongo Masaburi. Jitahidi kutafakari sana utagundua kuwa CCM kimeshapoteza DIRA siku nyingi tu na mabavu yanahitajika ili kubaki madarakani. Subirini nguvu ya Umma 2015 siyo mbali. Aluta Continua......Viva Lema na wapiganaji wenzako wote...Amandlaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. K

  Kudi Shauri Senior Member

  #8
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 1, 2007
  Messages: 154
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wabunge wa Arusha toka 1961 walikuwa Nsilo Swai; Ole Mejooli; Dr. Kipuyo; Ole Saibulu; Mbaga; Kinana; Makongoro; Felix Mrema na Godbless Lema. Kwa wale watokao Arusha nafikiri watam rate Kinana as the worst perfomer with nothing to show during his 10 years as MP of Arusha [1985 to 95] - Alijilimbikizia mali tu e.g. Dry Cleaner ya Mt. Meru Hospital etc. - na ndio sababu hakuweza kuendelea 1995 despite being quite young then less than 45 years old.
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,776
  Trophy Points: 280
  Endelea kutapika ufyenze ila safari hii tunazindua azimio jipya la arusha, kama unamuona Kinana ana akili basi wewe mbunge wa jimbo lako ni Prof. Majimarefu.
   
 10. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #10
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  .......huu ndio ukweli mkuu
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  @Topical hapo kwenye red unamaanisha Makongoro ni below standard? Sasa hivi huyo bwana yuko CCM imekuwaje mkapokea mtu ambaye ni 'below standard?

  Na kama watu wa Arusha wamechagua wabunge below standard kwa nini mnahaingaika nao? Kwa viwango hivyo hivyo unavyoita wewe 'below standard' lakini wanawanyima wakubwa usingizi! Sizitaki mbichi hizi - na bado!
   
 12. s

  sanjo JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  In absence of data do not talk.
   
 13. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,268
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Polisi wamezoea defender risasi mabomu na virungu. Sasa wangoje mapicha picha ya ukweli
   
 14. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  uzuri Mh. Kinana bado yuko hai lakini historia ninaamini haitamsoma tofauti na 'manguli' wengine wa ccm kama Mbunge aliyejiuzulu na watu wakazimia na wengine kuahidi kunywa hata sumu, Rostam Azizi!
   
 15. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Strategy ya Chadema kiboko mtu mmoja Lema anaihangaisha serikali zima ya CCM yenye wabunge zaidi ya 200.
   
 16. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Red: Al-shabaab. Umezoelea kutawaliwa na wageni wewe na Ukoo wako. Nyamafu mkubwa wee!
   
Loading...