Arusha: Mkuu wa Mkoa awatoa hofu wananchi juu ya mgomo wa daladala/pikipiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha: Mkuu wa Mkoa awatoa hofu wananchi juu ya mgomo wa daladala/pikipiki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee wa Rula, Nov 1, 2011.

 1. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Updates: Hali ya Arusha imeanza kubadilika ghafla, hakuna hiace hususani maeneo ya mjini. Awali ilionekana kama ingekuwa shwari.
  Hali ya usafiri asubuhi ilikuwa ni ya kawaida kama siku nyingine, hakuna matukio ya vurugu. Msongamano vituoni siyo mkubwa ingawaje daladala na pikipiki siyo nyingi kama kawaida. Hali ya ulinzi nayo siyo ya kutisha ingawaje nilikutana na gari moja ya polisi ilirandaranda mitaani kuhakikisha hakuna vurugu zinazotokea. Watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.

  Mkuu wa mkoa wa Arusha amewatoa hofu wananchi wa Arusha kuwa wasiwe na wasiwasi juu ya usafiri kesho kuwa utakuwepo na kutakuwa na ulinzi wa kutosha. Ameyasema hayo kupitia Tripple A Fm katika kipindi maalumu.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu mwenyewe wa kuja, kaijua lini Arusha?
  Kama anataka advertize ataiona kesho!
   
 3. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sema alikuwa ndiyo anamalizia, vinginevyo ningerekodi mazungumzo yao na kuweka jamvini. Nadhani itakuwa inawasumbua na kuona jinsi ya kuzuia na njia mojawapo ni kuwapa watu taarifa hasi.
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,839
  Likes Received: 11,959
  Trophy Points: 280
  Naona dawa imeanza kuwaingia walifikiri machalii wanatania Arusha sio Dar.
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mkuu na wewe kweli uwa unaongea pumba kama hizi?

  Mkuu wa mkoa kwani yeye ndio atatembea mkoa mzima mpaka kuujua? Wapo wasaidizi wake tena wazawa wa Arusha ndio watafanya kazi kuakikisha usafiri utakuwepo kwa wakazi wa Arusha.

  Kama Mkuu wa Mkoa ni wakuja hiyo hoja ni dhaifu sana PJ
   
 6. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Kaa huko huko ulipo,tuachie Arusha yetu sisi tunaoishi humu na kama hamtujui vizuri huwa vitendo vinatangulia zaidi kuliko maneno matupu Kama haya yako
   
 7. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nadhani hali kesho ya Arusha itakuwa mbaya sana, nadhani polisi wamejipanga vya kutosha kukabiliana na hali yoyote hali kadhalika wagomaji. Shida itatokea endapo watataka kwenda kumuona mh. Lema gereza Arusha.
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Quinine,
  Habari za siku nataka kuja CDM utanipokea
   
 9. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,839
  Likes Received: 11,959
  Trophy Points: 280
  Yeye anafikiri porojo anazofanya kutwa nzima humu zitasaidia kuzuia mgomo wa kesho.
   
 10. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  You are insane nani atakupokea CDM wewe
   
 11. i

  ibange JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wewe ndio umemwaga pumba
   
 12. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  A town makao makuu ya national Transition Council (NTC) ya Tanzania
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Kaka Arusha ni sehemu ya Tanzania..

  Haya tutaona kesho huo mgomo!
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  CDM haipokei watu ambao ni likely kupimwa kwa thamani ya fedha!
   
 15. the grate

  the grate JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mzee wa rula 2kutane mianzini kesho 2kapata nyama choma then 2naingia barabarani kumsapot lema
   
 16. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Unakaribishwa tu. It shall be well with you
   
 17. T

  Topical JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ningekuwa mkuu wa mkoa ningewaacha wagome na nitatoa ofa rasmi kwa anayetaka kwenda jela apelekwe..
   
 18. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Shaka 0% mkuu, inabidi kuwa full equiped kwa maana ya vitendea kazi kama digital camera inayoweza kuchukua picha na hata clip kwa ajili ya wanaJF walio mbali na eneo la tukio.
   
 19. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,839
  Likes Received: 11,959
  Trophy Points: 280
  Za siku ni mbaya hadi taifa litakapokombolewa kutoka mikononi mwa vibaraka weusi, wewe kaa huko huko CDM haina pesa ya kukulipa kwa kila post unayo-post JF.
   
 20. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Siku yatakuja kukukuta,utayajutia sana maneno yako na hakika yatakufika tu.
   
Loading...