OCD Arusha afutwe kazi

Shembago

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
332
50
Hivi IGP Mwema,wema wake upo wapi kwa watanzania? kwanini asichukue uamuzi mwepesi wa kumfuta huyu Gamba aliyevaa magwanda ya kaki na yaliyowekwa nyota mabegani?

Mzembe sana Zuzu beriberi eti OCD Arusha,Kwanini anatumia madaraka yake vibaya?

Naomba Ewe said mwana wa mwema onyesha wema wako kwa kumfuta kazi mara moja Zuzu wa beriberi!!

Nawakilisha
 
Poa nami naungana na wewe mwana jf huyu ocd nafikiri huyo mwenga angemfuta kazi haraka maana wakati yuko likizo mbona vurugu kama hizo hazikuwepo?
 
Kwa nini afutwe kazi OCD? huyo anatenda kipumbavu kwa sababu yuko ndani ya kundi la wapumbavu ndio maana anaweza kuwaita wana Arusha panya na pengine Mwema akachekelea.
Dawa ni kuvunja jeshi zima la Polisi na kuunda jeshi jipya lenye kufuata weledi wa kipolisi. Mbona 1964 KAR ilivunjwa na kuanzishwa TPDF? Ujinga wa Polisi si Arusha pekee ni kila sehemu, ila Arusha unajulikana kwa vile wana wa Arusha wanae mpambanaji anayeweza kukaa mstari wa mbele na kujitoa nafsi yake bila woga. Huyo Zuberi ndio picha ya ma OCD wengi nchi hii.
 
Sasa kama Mwema mwenyewe ndio amemtuma awadhalilishe watu kwa kuwaita panya atamwajibisha vipi?
 
Wananchi tukishindwa kumuwajibisha basi tuvumilie haya maumivu maana anatekeleza maagizo ya ambao wangemuwajibisha. Inauma ila ndo ukweli huu mfumo unawalinda na kuwanufaisha wateule wachache
 
Mtu anapokabidhiwa dhamana kubwa serikalini, wakati hajui majukumu yake ni sawa na kuweka almasi kwenye pua ya nguruwe!
Ana ile dhana ya kizamani kuwa kazi ya Polisi ni kupiga watu...dhana ya vijijini, ambako kila wakimwona polisi wanajificha, hata kama mtu hanA kosa!
 
ASEEE HILI JAMAA
LIMESHALEWA MADARAKA
LINAWAITA WANAADAM WENZIE PANYb
lipewe likizo ya milele nyambaf kabisa
 
Hivi IGP Mwema,wema wake upo wapi kwa watanzania? kwanini asichukue uamuzi mwepesi wa kumfuta huyu Gamba aliyevaa magwanda ya kaki na yaliyowekwa nyota mabegani?

Mzembe sana Zuzu beriberi eti OCD Arusha,Kwanini anatumia madaraka yake vibaya?

Naomba Ewe said mwana wa mwema onyesha wema wako kwa kumfuta kazi mara moja Zuzu wa beriberi!!

Nawakilisha
Uyu OCD wa Arusha asipoenda sambamba na system kandamizi atatupwa makao makuu ambapo hamna deal kama ambavyo baba Bazili Matei aligoma kuburuzwa na system kandamizi matokeo yake baada ya uchaguzi akatupwa makao makuu kupanga mafaili ya Mwema.
 
Usitegemee kitu kama hicho. Huyo hajafanya kwa bahati mbaya. Narudia tena,anajua analolifanya na ni makusudi.
 
Hivi IGP Mwema,wema wake upo wapi kwa watanzania? kwanini asichukue uamuzi mwepesi wa kumfuta huyu Gamba aliyevaa magwanda ya kaki na yaliyowekwa nyota mabegani?

Mzembe sana Zuzu beriberi eti OCD Arusha,Kwanini anatumia madaraka yake vibaya?

Naomba Ewe said mwana wa mwema onyesha wema wako kwa kumfuta kazi mara moja Zuzu wa beriberi!!

Nawakilisha

OCD yuko busy na siasa kiasi kwamba swala la ulinzi wa raia halizingatiwi kabisa Arusha mjini, vibaka na majambazi wametanda kila mtaa wanakwiba mali za wapita njia kama kwenye sinema flani tena wazi wazi. OCD kilaza ana mdomo mchafu kama chamber ya bwawa la mavi amesababisha mpaka watendaji wa ofisi yake wanafanya kazi ya jamuhuri kisiasa-siasa mpaka mji wa arusha umezidi kugubikwa na janga la uhalifu na wezi wanakula sahani moja na askari just because kuanzia OCD mpaka konstebo wamekua wanasiasa na wafanyabiashara ndani ya jeshi la polisi Arusha mjini.
 
Huyo Said Mwema ndo wale wale! Dawa ni wananchi kumvizia na kumpiga mawe hadi kufa huyo OCD wa Arusha. Pumbavu zake..!!
 
Huyu OCD anafanya kazi ya CCM kubaka demokrasia. Yote haya yanamwisho. Ndugu zangu Watanzania tuungane. Hatuna cha kupoteza ila umaskini utokanao na CCM
 
Kama wananchi ni panya na panya wanahitaji kulindwa basi yeye ni PAKA SHUME. Au siyo wadau.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom