Rais aagiza Lema aachiwe kwa dhamana ya serikali

Status
Not open for further replies.

Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,416
12,604
Rais ameagiza Lema atolewe gerezani mara moja (remove order) kwa dhamana ya ofisi ya rais ili kuepusha mgogoro na maafa yanayoweza kutokea huko Arusha.

Chanzo sio cha kuaminika sana lakini kama ikiwa ni kweli itakuwa powa sana.
 
hatoki,,hatoki, hatoki kwanza mh rais hanaga utaribu wa kuingilia mahakama, msi2danganye, na wala msitegemee mteremko huo...
 
Kama akiachiwa kwa remove order basi aliyesababisha haya matatizo yaani Zuberi naye aondoke immediately
 
Hata mpumbavu angepaswa kufanya hivyo, Sembuse RAIS WA JAMAHURI YA TZ? Tena anatakiwa Arusha kwa mkutano wa EAC this week. Asipofanya hivyo itakula kwake , and that is what we call technical win. CDM juu sana , sana tena sana.
 
hatoki,,hatoki, hatoki kwanza mh rais hanaga utaribu wa kuingilia mahakama, msi2danganye, na wala msitegemee mteremko huo...
Usijidanganye wewe, hivi unayajuwa mamlaka ya Rais wa JMT kikatiba juu ya mambo ya mahakama, wafungwa nk. Vipi kuhusu misamaha rais anayotoa! Umejoin lini JF bosi?
 
We dont want to use our heads...hii move imembariki Lema kuliko kumuharibia. Time and again, the guys are making the obvious mistakes of underestimating the really intentions of their political opponents.
 
Kama akiachiwa kwa remove order basi aliyesababisha haya matatizo yaani Zuberi naye aondoke immediately

Bado hajaachiwa, lakini taarifa ya kumwachia ilishawafikia jamaa, wanajipanga wafanyeje. Nahisi watalazimisha mtu wa kumtolea dhaman isije kuonekana ni amri ya Rais. Kutoka hasa hasa itakuwa kesho kwa mujibu wa taratibu zao.
 
Hata mpumbavu angepaswa kufanya hivyo, Sembuse RAIS WA JAMAHURI YA TZ? Tena anatakiwa Arusha kwa mkutano wa EAC this week. Asipofanya hivyo itakula kwake , and that is what we call technical win. CDM juu sana , sana tena sana.

wewe unafikiri ni lema2 anayetakiwa kuhurumiwa mpumbavu huyo, Rais haangalii lema chadema wala ccm yake, yeye anafuata utawala wa sheria na kama hamuamini ujinga mnaoutaka fanyeni kiburi chenu mbele ya sheria muone kama hamtamsahau huyo lema wenu humo, au sheria ziko mifukoni mwenu?. C anajifanya mandela muacheni akae humo tuje tumpe nchi basi.
 
hizi kesi mbili hiyo ya Mh..Lema ya kupinga Ubunge wake... na ile ya wabunge wa CDM ..itataleta kitu ambacho kinaweza kuwa historia kama ..hatotumika busara
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom