Gobless Lema; Jabali Linaloitikisa Serikali Ya JK ,Lajifananisha na Mwanamapinduzi Luther King Jr

Jun 8, 2011
52
19
S6300781.JPG

Kama ulidhani unachokisoma vitabuni kuhusu Mwanamapinduzi Martin Luther King Jr kilitokea hapa tu nchini Marekani basi ujue unajidanganya tena sana, hebu mwone huyo Mtetezi wa wanyonge hapo juu, mwangalie vizuri tu, si mwingine bali ni Gobless Lema.

Huyu ndiye Lema anayemfanya JK akose usingizi naam! ni Gobless Lema jabali linaloitikisa serikali ya JK na CCM.
 
Lema ameandika historia ya kipeke, ofcourse ni kama Luther king n like Mzee Mandela, nimezipenda movement zake, good Lema.. Pull up da sox, we are wth you guy!
 
Ni seme tu ukweli Lema baba yangu mdogo ninamfahamu toka akiwa nikiwa mdogo alishawahi kumpandishia mzee nyumbani mpaka tukafikiri si mzima,SI MWOGA WA KITU CHOCHOTE. Akisema jambo lazima alitimize
 
Safari hii tutasikia mengi sikia upupu huu, tena kuna wengine watasema Lema shemeji yao
 
Lema ni mpiganaji wa kweli,ni kiongozi shupavu,yupo kwa ajiri ya wanyonge,ukombozi umefika Tanzania,dhuruma zinazofanywa na serikali ya kipuuzi ya CCM inatosha.VIJANA TUAMKE.
 
S6300781.JPG

Kama ulidhani unachokisoma vitabuni kuhusu Mwanamapinduzi Martin Luther King Jr kilitokea hapa tu nchini Marekani basi ujue unajidanganya tena sana, hebu mwone huyo Mtetezi wa wanyonge hapo juu, mwangalie vizuri tu, si mwingine bali ni Gobless Lema.

Huyu ndiye Lema anayemfanya JK akose usingizi naam! ni Gobless Lema jabali linaloitikisa serikali ya JK na CCM.

mwangalie msichanganye vitu ni vyema mkasoma tena historia ya hao watu maarufu kabla ya kuwaringanisha na Lema. mimi binafsi sijaona matukio ya kufananisha na watu hao zaidi ya makeke ya kupambana na polisi kwa kutotii mamlaka.
mnataka kusema atafaa kuwa mwenyekiti wa CDM au hata kugombea uongozi wa juu zaidi baadaye?
 
hayo umeyasema wewe mkuu! au ndo umetumwa?!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom