Nyerere hadi sasa

A-town

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
494
169
Kipindi cha Nyerere mfumo wa siasa ulikuwa ujamaa na kujitegemea tangu aondoke madarakani na duniani hali imegeuka na sasa tupo kwenye mfumo wa unyama na kujimegea je baada ya hapa mfumo gani utafuata?
 
Actualy sijui what's next but 2nakoelekea si pazuri, roho inaniuma kuona nchi ye2 iliyobarikiwa na utajiri mwingi inahaha kwenye dimbwi la umasikini huku wachache wakifaidika kinyume cha sheria
 
Back
Top Bottom