Tanzania sio mkoa au jimbo la Uingereza "utaifa kwanza"

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Kwanza niseme wazi kuwa bwana Cameroon waziri Mkuu wa Uingereza anataka kuitangaza Uigereza iliyokua inaanza kupotea kwenye masikio ya walimwengu. Na kwa masharti ya misaada kwa kuualalisha ushoga ni wazo nzuri linalowagusa watu wenye hisia za kike zaidi na hakuna sababu ya kuhalalisha hili kisheria hapa Tanzania. Kwa Tanzania kukubali masharti haya ni sawa na Mtoto kuwaadhibu wazazi hadharani tena wakiwa uchi wa mnyama. Hivyo ni bora Watanznia wote tuendelee kuwa maskini jeuri na kutengeneza mawazo ya kujitegema kwa kutumia rasilimali zetu wenyewe or kwa kuunda coalition of Nation opposing the idea for common multlateral relation.Hapa lazima tuwe na sauti moja naa tuuondoe uchadema na uccm. Kweli Tanzania ni Taifa huru japo hata kama ni kisiasa lakini lazima tusimamie mipaka ya mamlaka ya utawala wa Utaifa na uzalendo wa raia wote. Tanzania can exist without UK and UK has nothing to comment on Tanzanian with their own culture apart from religion. should UKs residents be guys how wuld they survive. Ufisadi ni fimbo ya adhabu kwa watanzania, na ni vyema mipango ya mafisadi izimwe na Kiongozi wa Nchi hii na Watanznia wote tuwajibike katka kujiletea maendeleo.

'Tanzania together we stand as one'
 
Back
Top Bottom