Arusha: Mgomo wa daladala na pikipiki

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Ilikuonyesha kumuunga mkono kamanda Godbless Lema, madereva wa daladala na Toyo kesho wataanza mgomo hapa Arusha....

=======
Wito wa mgomo na maandamano ya kupinga Ukiukwaji wa Katiba, haki za Binadamu, ukatili wa police na udhalilishaji wa serikali kwa raia hapa nchini na hasa hapa Arusha. Damu ya mashujaa iliyomwagika kudai Uhuru, haki Uzalendo wa taifa iwe WINO wa kuasisi Taifa jipya.

Jasho la mateso na unyanyasaji liwe ISHARA ya utumwa wa mzawa ktk taifa lake na CHOZI la uchungu wa Umaskini, maradhi, ujinga na ufisadi liwe NISHATI ktk kuwasha taa ya HEKIMA, UJASIRI na NGUVU ya UMMA kuleta mapinduzi ya Kiraia.

KULAANI NA KUPINGA OCD-ARUSHA KUWAITA WANANCHI "PANYA".

Nawasilisha!
 
Last edited by a moderator:
wafanye hivyo na sisi tuwaunge mkono ili kuonyesha solidarity 4reva
 
Wito wa mgomo na maandamano ya kupinga Ukiukwaji wa Katiba, haki za Binadamu, ukatili wa police na udhalilishaji wa serikali kwa raia hapa nchini na hasa hapa Arusha. Damu ya mashujaa iliyomwagika kudai Uhuru, haki Uzalendo wa taifa iwe WINO wa kuasisi Taifa jipya.

Jasho la mateso na unyanyasaji liwe ISHARA ya utumwa wa mzawa ktk taifa lake na CHOZI la uchungu wa Umaskini, maradhi, ujinga na ufisadi liwe NISHATI ktk kuwasha taa ya HEKIMA, UJASIRI na NGUVU ya UMMA kuleta mapinduzi ya Kiraia.

KULAANI NA KUPINGA OCD-ARUSHA KUWAITA WANANCHI "PANYA".

Nawasilisha!
 
Duh hatari kubwa kwahiyo kesho nitoke na kile kiNoah changu kazi kweli kweli.

Watakaopata adha ya usafiri ni walalahoi wakubwa watapeta na miVX yao kama kawaida nadhani hili zoezi la kuandaa migomo lingeangalia nani mwathirika mkuu.

Hongereni ujumbe umefika.
 
KULAANI NA KUPINGA OCD-ARUSHA KUWAITA WANANCHI "PANYA".

hiii ni hatari kama wapiga kura tunaitwa panya hawa jamaa wamefika mbali sana sasa
naona wanaanza kuleta dharau za wazi wazi kabisa lazima watu waingie barabarani
 
Mkuu heading na post zimenichanganya let be specific brother!
kama vipi tuingie barabarani haraka! OCD wa Arusha ni Kunyanzi la kutupwa, anafanya kazi ya Mukama!
 
Solidarity for ever! Peoples Power!
huo mgomo upokelewe nchi nzima na Zuberi Mwombeji awajibishwe kwa kuwaita wanadamu wenzake panya!
 
Tupo pamoja jamani!! mimi nipo mbali na arusha yan nasikitika sana kutohudhuria hayo maandamano. Nawaombea Mungu maandamano yenu ya mapinduzi yafanikiwe na kumbuka mapinduzi daima huanzia Kaskazini

Wana arusha hakikisheni mnaweka historia ambayo haitafutika kamwe. Bwana awe nanyi( amen)
 
Duh hatari kubwa kwahiyo kesho nitoke na kile kiNoah changu kazi kweli kweli.
Watakao pata hadhaa ya usafiri ni walalahoi wakubwa watapeta na miVX yao kama kawaida nadhani hili zoezi la kuandaa migomo lingeangalia nani mwathirika mkuu.

Hongereni ujumbe umefika.

sidhani kama unajipenda Ngongo!
 
Duh hatari kubwa kwahiyo kesho nitoke na kile kiNoah changu kazi kweli kweli.
Watakao pata hadhaa ya usafiri ni walalahoi wakubwa watapeta na miVX yao kama kawaida nadhani hili zoezi la kuandaa migomo lingeangalia nani mwathirika mkuu.

Hongereni ujumbe umefika.
Mkuu juzi daladala ziligoma watu waliteseka lakini jaama walikomaa mpaka haki ikatendeka...kuna wakati inabidi uteseke ili ufaidi baadae...hata wewe wakati unanunua hicho kinoah chako lazima kwa njia moja ama nyingi uliteseka yaani kuna vitu ulikuwa una vikosa kwa sababu ulikuwa na lengo la kununua Noah lakini leo unafaidi.....
 
Tunisia ilianza na mmachinga, Libya walikuwa 'rats' (maneno ya Ghadafi). Tatizo hapa bongo wakubwa wameziba masikio na wanavaa mawani ya giza, na akili zao wameweka kwenye freezer.

Nasema hivyo kwa sababu wakubwa wameamua kupambana na mtu mmoja -Lema! Lakini wasilotambua ni kwamba Lema ni 'symbol' (alama) ya watanzania walio wengi, waliochoshwa na utawala mbovu.

Kumgusa Lema ni kugusa maelfu ya vijana wengi Arusha wanaobangaiza maisha. Siku wakiingia barabarani hakuna cha Zuberi au bosi wake na Zuberi. Nahofia nchi inaelekea huko. wakulaumiwa nani?
 
Arusha wsill always be a nuclei of revolution - I hope. That region is where Sokoine came from, look at other revolutioneries like Ole Sendeka, Dr. W. Slaa, Hon. Godbless Lema bila kuwataja wale jamaa mashujaa wasioogopa kufa.
 
Back
Top Bottom