Hakuna haja ya kusherekea miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna haja ya kusherekea miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Angel Msoffe, Nov 3, 2011.

 1. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hizi ni sbb zinazonifanya nisione umuhimu wa maadhimisho hy 1. KIUCHUMI kwa sasa hapa TZ uzalishaji mali ni mdogo sn ukilinganisha na rasilimali vitu zilizoko Tz, tunategemea vitu vingi sn tk nje ya nchi hii inatokana na serikali kuua viwanda mf. General tyre, machine tools nk. TANZANIA IKO NYUMA SN KIUCHUMI ukilinganisha na nchi nyng zilizopata uhuru mwaka 1 na tz mf. KOREA KUSIN ambapo inaisaidia Tz. TEKNOLOJIA IMEDUMAA:- serikali inajivunia kw KILIMO NI UTI WA MGONGO wkt miaka 50 tk tupate uhuru wakulima wengi wanatumia jembe la mkono. UTAMADUNI:- tk Mwalimu Nyerere afariki utamaduni wa nchi umeporomoka kwa kasi, viongozi wanajilimbikizia mali, serikali inaua raia hovyo, mauaji ya albino, kuwekeana sumu nk SIASA:- tk tupate huo uhuru hali ya siasa tz inazidi kuwa mbaya kika kukicha,kung'ang'ania uongozi kwa vhongozi wa chama tawala kunaopelekea wizi wa kura, mauaji ya wanasiasa watetezi wa wanyonge na wananchi wanaodai haki zao,
   
 2. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  HAYO MABILIONI SERIKALI INAYOTARAJIA KUTUMIA KUADHIMISHA MIAKA 50 ya UHURU ITUMIE KUTATUA KERO YA UMEME ambayo ni chanzo kikubwa cha kuporomoka kwa uchumi,
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  wawslipe makontrakta wa barabara waliogoma,malimbikizo ya walimu na madaktari..shule hazina laboratories na vituo vya afya havina dawa.sawa na kufanya birthday kubwa mtaani wakati unadaiwa kodi ya pango
   
 4. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,276
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Uhuru upi wakati alietushikia chini kipindi ile (mkoloni), bado tu katushikia mpaka leo, tena kwa dharau kabisa anataka kwanza muutambue "ushoga na mashoga". Bado hatuko huru.

  Hiyo hela ya hizo sherehe ingejenga hospital moja ya ukweli sana tupunguze trip za India
   
 5. N

  Nonda JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Zile jamaa zinazopenda kuchota fedha za umma watapata wapi 10% yao kama wataacha kuliuma Taifa?

  Uhuru wa nchi ipi unaosherehekewa hapa? Tz nchi ya mazingaombwe!!!
   
 6. K

  Kima mdogo JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kusherekea miaka 50 ya uhuru ni uhuni mtupu kwani ule ulikua ni uhuru wa bendera bd taifa halijakombolewa.
   
 7. N

  Nonda JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Wanapotaka kufuja fedha za umma wanasema wanasherehekea uhuru wa Tanganyika, au iliyokuwa Tanganyika.

  Wakati wananchi wanaposema turejesheeni serikali ya Tanganyika, wanasema hakuna kitu kinachoitwa Tanganyika au Tanganyika ilikufa.

  Utapeli mtupu. VIONGOZI WETU wamegeuka kama wale matapeli wa kinigeria. Bora hela ziingie mifukoni mwao tu.
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Viongozi wanagawana rasilimali za watz kwa kisingizio cha uwekezaji.
   
 9. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  watu wanajengea hizi sherehe
  hii kama epa
   
 10. Jacobus

  Jacobus JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 3,577
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Baba wa taifa alihakikisha nchi inajitegemea kwa kila kitu ndo maana aliweka mfumo wa ajira mzuri mno.
  Ukimaliza kidato cha nne ulipewa chaguo la kuendelea na kidato cha tano au kujiunga na shirika la serikali, hapo hakuacha tu mtu uajiriwe hivi hivi bali aliweka utaratibu wa elimu kwanza katika hayo mashirika.
  Sasa watawala wetu wameua mfumo huo wa elimu na wanataka wawekezaji waji ili sisi tuwe ni wauza vocha na wasemaji wao tuuuu!
   
Loading...