Sio siku nyigi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sio siku nyigi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAKA A TAIFA, Nov 3, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nimeoteshwa kwamba sio siku nyingi nchi yetu itaishiwa kabisa hata hela za kuendesha serikali zitaisha ,nitatoa kikombe bure kama tiba itakuwepo
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  naomba uote mi ntakuwa nani ktk nchii hiii, maana naona naanza kutamani madaraka kama Lowassa
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Ndoto itabaki kuwa ndoto.
   
 4. JICHO LA 3

  JICHO LA 3 JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba uote ndoa ya kwanza ya mashoga tanzania itafungiwa wapi baada ya sheria kupitishwa na serikali.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ndoto yako kaa nayo mkuu, usiombee hayo mambo kabisa... we have elders, sick, wajane na wengi wasiojiweza na wanategemea serikali bado
   
 6. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,274
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ebu amka haraka na usitishe iyo ndoto yako
   
 7. k

  kajima JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2011
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 864
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Kisha nikaona mawe yenye nembo ya wadanganyika yakipaza sauti, kelele mfano wa mawimbi ya bahari, ..imetosha..imetosha ...lazima tuwang'oe manyang'au, wezi, madarakani

  Ndipo Mkuu wa Kambi akainama na kama ishara ya kutii sauti zao....ghafla nikakurupuka kumbe ni ndoto tu lol
   
 8. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  ndoto zina maana yake usidharau ifanyie kazi ndoto yako. Nalog off
   
Loading...