Mwita Matteo
JF-Expert Member
- May 16, 2010
- 216
- 55
Kumekua na mzozo mkubwa sasa hivi hapa nchini wa kuukubali ushoga. Naomba ni weke wazi hapa kuwa mimi binafsi si ukubali USHOGA, achalia mbali haki zao, kauli mbalimbali zimekua zikitolewa na viongozi wa dini na wanasiasa kupinga Tanzania kugeuzwa Taifa la mshoga. Ila hapa cha kujiuliza ni kuwa je, hawa viongozi wetu wa dini na wanasiasa wana maanisha wanacho kisema? Moja ya viongozi wa dini alotoa kauli alikua Askofu Kilaini, yule yule alosema Kikwete ni chaguo la Mungu.