Ni lini Pinda atafanya action bila kuishia kutoa maagizo tu?

Ikwanja

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
2,082
581
Wana jamii,

Jana niliona kwenye news Mh. Pinda (zamani Mtoto wa Mkulima) akitoa maagizo wakurugenzi wachululiwe hatua. Ni lini yeye kama PM atafanya action ya moja kwa moja bila kuishia kutoa maagizo ambayo hata moja halijawahi kutekelezwa? Maana mimi naona ama anawaogopa hao wakurugenzi, au hana ushahidi na kile anachosema.

Sasa kama yeye ndo top, anamwagiza nani?
 
hana mvuto kama kiongozi makini na mara nyingi matamshi yake watendaji wanayadharau
 
Wana jamii,

Jana niliona kwenye news Mh. Pinda (zamani Mtoto wa Mkulima) akitoa maagizo wakurugenzi wachululiwe hatua. Ni lini yeye kama PM atafanya action ya moja kwa moja bila kuishia kutoa maagizo ambayo hata moja halijawahi kutekelezwa? Maana mimi naona ama anawaogopa hao wakurugenzi, au hana ushahidi na kile anachosema.

Sasa kama yeye ndo top, anamwagiza nani?
hata usubiri vipi hiyo siku haitafika.Pm anaelia bungeni unategemea nini?
 
Pinda anadhihirisha cancer ambayo viongozi wa CCM na serikali yao wanayo.
 
Wana jamii,

Jana niliona kwenye news Mh. Pinda (zamani Mtoto wa Mkulima) akitoa maagizo wakurugenzi wachululiwe hatua. Ni lini yeye kama PM atafanya action ya moja kwa moja bila kuishia kutoa maagizo ambayo hata moja halijawahi kutekelezwa? Maana mimi naona ama anawaogopa hao wakurugenzi, au hana ushahidi na kile anachosema.
Sasa kama yeye ndo top, anamwagiza nani?

Unajua Mkurugenzi anawajibika kwa nani kweli? Utakuwa siyo uongozi sasa kama ataanza kuingilia kazi za watendaji wengine kila wakati, na dhana nzima ya mgawanyo wa madaraka itakuwa haina maana tena.
 
Thats how Tz politics are. Unaweza pia ukaita press conference kuwaeleza watu kuwa umefanya mambo ambayo kimsingi ndo majukumu yako.
 
Pinda ametoka kwenye jamii iliyolala na akaingia kwenye chama matatizo kinachotengeneza serikali legelege sasa unashangaa nini mkuu?
 
Unapomsikiliza pinda anapokuwa anaelezea jambo kuhusu uwajibikaji kwa mara ya kwanza, unaweza hisi kuwa ni kiongozi mzalendo anaeguswa na kero mbalimbali za wananchi.
Mara zote huyu mnaemwita mtoto wa mkulima, amekuwa makini kunyoosha maelezo huku sura yake ikionyesha dhahiri kuwa anaguswa na hayo anayoyazungumza...!, na wakati mwingine anamwaga chozi!
Ukweli ni kwamba huyu PM ni feki so his boss JK, na ndio maana anaishia kutoa maagizo bila kuchukua hatua..
Na asubiri kutoa hesabu kwa yote alofumbia macho wakati alipaswa kuchukua hatua.. Jinga kbs hili.
 
yaani hata youle naibu waziri wa elimu anamshinda!! Hivi huyo waziri angeagiza wakaguzi mambo yangekuwaje? kwa nini pinda anashindwa??
 
Mr Pinda tumechoka na Maagizo yako yasiyofanyiwa utekelezaji, Naomba ushughulikie na hili la shilingi kushuka thamani basi au hata litolee agizo tu... tulisikie.
 
huyo kaweka tu kama cover hakuna utekelezaje anao weza kufanya maana walio under cover ndo wenye power Pinda yupo yupo tu!!!! ndo maana nilikua namkubali sana strong Lowassa na maamuzi yake magumu ingawa na yeye ana mapungufu yake kama binadamu wengine wote...
 
there is no way akafanya action chini ya utawala huu may be the next presidaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom