Ivi mwaka 2014 tutasherehekea miaka 50 ya Tanzania pia?

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Nimekuwa nikitfakari kwa mda sasa kama 2011 tunasherehekea miaka 50 ya uhuru wa Tanzania badala ya Tanganyika sasa ikifika 2014 tutasheherekea miaka 50 ya Tanganyika au Tanzania au huo mwaka tutaupotezea kimtindo
 
Back
Top Bottom