Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

hivi hizi kodi ambazo zinatumika kwenye hayo matamasha zinatija kwa taifa?tungeehamua kuzielekeza kwenye matatizo yetu ya msingi zisingesaidia? Itatuchukua muda sasa kufikia malengo kwa matumizi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sina comment kuhusu aliyoongea Nape, sikiliza. http://vimeo.com/31668596
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimetembelea eneo la madini ya chuma Liganga Mundindi Ludewa, Kunakampuni inacholonga miamba yenye madini na kuchukua sample sasa ni takribani miezi kadhaa imepita.Ninacho jiuliza muda wote huu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je hii ni halali kwa makamishna wawili kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, pamoja na Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha na Ofisa Upelelezi wa Mkoa wa Arusha...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Tumeshuhudia kila kukicha kunakuwepo malumbano kwenye vyombo vya habari hasa ndandani ya CCM malumbano ya kubomoana,kuchafuana lakini ukiangalia kwa umakini kwa viongozi wa CCM,makada wote wana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za mida hii wana jf mda huu nipo iringa hapa samora tunaadhimisha miaka 50 ya uhuru wa tanganyika huku umeme ukiwa ni wa mgao hata hapa uwanjani ambako mwenge wa uhuru unategemea muda si...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri ataka wanafunzi waandamane kuwadai wenzao waliokopa walipe Send to a friend Sunday, 06 November 2011 20:11 0diggsdigg Peter Saramba, Arusha NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
msemo huu ulisemwa na baba wa taifa mpaka leo nautafakari sijapata jibu lake naombeni msaada wenu wana jf
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali yanuka uozo • Wateule wa JK wachafuka na Mwandishi wetu Tanzania Daima KUBAINIKA kwa tuhuma nzito za ufisadi na uporaji wa mabilioni ya fedha kumefichua uozo mkubwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilson Mukama, amesema yeye ni sawa na mtu aliyeteuliwa kufanya kazi ya kunyonga mkosaji aliyehukumiwa adhabu hiyo na Mahakama, hivyo hawezi kuogopa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ulimwengu decries Tanzania dependency on foreign aid and urgues that if homosexuality is unfrican so is dependency on another man to feed and cloth your children and wife. Rejecting one means...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana shirika la ndege la Kenya limetangaza kupata faida ya katikati ya mwaka ya Kshs 2.8 billion (sijui ni sawa na Tshs ngapi) ikiwa ni Gross Profit. Source: Citizen TV ya Kenya. Naweza kusema...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndungu zangu wa Tanzania: leo nimetoka kumuona kamanda Godbless lema kwenye magereza kuu ya Arusha. ujumbe wake kwenu, msikate tamaa tunganishe nguvu kwa pamoja na tusimamie kile tunachokiamini...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Nimesoma habari ya Utoah akiongea na waandishi wa habari na kusema ni vyama vitano tu ndo vimewakilisha mahesabu ya uchaguzi, nanukuu "......Ripoti hiyo inaonyesha kuwa vyama vingi vya siasa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
6th November 2011 Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia HalmashauriI Kuu(NEC) ya Chama cha NCCR-Mageuzi, imempa Mwenyekiti wake, James Mbatia, siku 21...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watanzania pamoja na kuwa na mapambano na ufisadi ni lazima tuwe wa wazi na watu wenye kufuata sheria kama tuntaka maendeleo ya nchi yetu. Mimi sielewi hili swala kwa kina sana lakini kama mambo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tayari serikali ya ccm iko mahututi. Ni ufisadi umewafikisha hapo walipo kiasi kwamba hawana hoja za kuwadanganya wananchi kuhusu ugumu wa maisha. Wananchi wanaelewa kinachoendelea. Lakini...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Akiongea katika mkutano wa kufungua mpango mkakati wa TARJA, Jaji Warioba ameongea maneno yanayokanganya na kutilia shaka uweledi wake pale alipo sema haoini shida na sababu za kwanini tusiwalipe...
3 Reactions
101 Replies
8K Views
Leo Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA kamanda Mbowe,akiambatana na viongozi wa mkoa na wilaya alimemtembelea Lema selo,na kuafikiana kutoka jumatatu,baada ya kutoka tutafanya mkutano mkubwa sana...
5 Reactions
131 Replies
11K Views
toka watoe masharti kwa nchi zote ambazo ni wanachama wa jumuiya ya madola juu ya ushoga nilitegemea viongozi wa chadema watakemea kauli ile ya cameroon lakini mpaka leo wamekaa kimya je ndio...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…