Mbunge wa CCM Shinyanga mjini kutinga mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa CCM Shinyanga mjini kutinga mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MITIMIREFU, Nov 7, 2011.

 1. MITIMIREFU

  MITIMIREFU Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika hali isiyokuwa ya kawaida leo katika ofisi za mbunge wa jimbo hili kwa tiketi ya ccm mh Masele amepokea samasi ya kuitwa mahakama kwa ajili ya matokeo ya ubunge.

  hali imetokea baada ya aliyekuwa akishitakiana nae kufari mh Shelembi na sasa kesi hiyo imeamua kufunguliwa upya nawapiga kura wa manispaa ya shinyanga kesi itafanyika mkoani Tabora hivi karibuni
   
 2. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mpeni pole wamezoea kunyonga
   
 3. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  vipi lakini si kesi ilfutwa kulikoni
   
 4. MITIMIREFU

  MITIMIREFU Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  katika hali isiyokuwa ya kawaida leo katika ofisi za mbunge wa jimbo hili kwa tiketi ya ccm mh Masele amepokea samasi ya kuitwa mahakama kwa ajili ya matokeo ya ubunge.
  hali imetokea baada ya aliyekuwa akishitakiana nae kufari mh Shelembi na sasa kesi hiyo imeamua kufunguliwa upya nawapiga kura wa manispaa ya shinyanga kesi itafanyika mkoani Tabora hivi karibuni
   
 5. MITIMIREFU

  MITIMIREFU Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  du!!!!!! mbona wataisha na chaguzi ndogo zitakuwa nyingi mwaka ujao
   
 6. M

  Msharika JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35

  Mzee unanichanganya, mbunge wa shinyanga , kesi inaenda kufanyika Tabora????????????????
   
 7. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tabora ndo mahakama kuu ya kanda ya magharibi iliko yawezekana akawa sahihi
   
 8. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Huyo Masele hatakiwi shy!!
   
 9. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pole zakeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 10. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  mahakama kuu kanda ya tabora nadhani
   
 11. Kimolah

  Kimolah JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  Abanamhala baamulile loloo!!! badondakaga o-ngw'eshimiwa o magamba!!!!!! agwepandeeka na gweibona eeh nguzu ya batoji ba-kura.
   
 12. MAYOO

  MAYOO JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  bamanela o guba kura, bagwesoma namba. Abasukuma dolemiso gete.
   
 13. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  vya kunyonga hivyooooooooooooooooooooo!
   
 14. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ntwingelelwa!
   
 15. JOASH MUSSA

  JOASH MUSSA JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  walipokwapua kote tutaparudisha...
   
 16. A

  Amelie Senior Member

  #16
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 13, 2008
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haho lulu mlamale irangi.mkwebha?
   
 17. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #17
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Ogwenoyo no mhayo.akoisoma e namba mshisukuma nsajinsaji hoyo
   
 18. baina

  baina JF-Expert Member

  #18
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona mnachangia kwa lugha tusizofahamu? Haya ngoja nichangie " ekyo ekibunge kya ccm nangu bakitele ebiboko mpaka kinyampe ebinyampo. Nawasilisha.
   
 19. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #19
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,408
  Likes Received: 1,965
  Trophy Points: 280
  hii imepotea njia
   
 20. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #20
  Nov 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  nadhani ndio mahakama kuu ya kanda ilipo
   
Loading...