Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngurati, Nov 7, 2011.

 1. n

  ngurati JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanajanvi,

  Nimetokea mahakamani arusha ambapo maabusu walioletwa kusikiliza mwendelezo wa kesi zao wamekataa kushuka kwenye karandinga. Wamesema wanafanya hivyo kupinga uonevu unaofanywa dhidi ya mbunge wa Arusha, na wanapinga kucheleweshwa kusikilizwa kesi zao ambazo zimechukua miaka zikitajwa tu. Ilikuwa vurumai ikabidi polisi wakaimarisha ulinzi na wakawarudisha Kisongo gerezani. Removal order ya lema tayari imetoka na wananchi wapo niani kuel;ekea kisongo, ambapo lema atachukuliwa kuletwa mahakamani ili shauri lisikilizwe na hatimaye apewe dhamana.

  Arusha ipo hot saa hii, mjini kati ni honi magari na mapikipiki na watu na benderea za chadema. Waliopo maeneo tofauti tofauti watazidi kutujuza.
   
 2. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni haki yao.
   
 3. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  CCM na Polisi wao ndio wakome kunyanyasa Watanzania. Wanatakiwa waelewe kuwa Mtanzania wa Leo si wa 1961. Hongera sana Lema kwa "Kupasua pazia la hekalu". Kama chama cha Siasa CCM walishakufa wamebakiwa na kitengo kimoja tu ambacho ni Polisi kutisha watu kila uchao. Sasa wamekutana na wasiotishiwa Nyau.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Natuma picha sasa hivi za gerezani Kisongo!
   
 5. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  magamba wakubali tu A-towm hawaiwezi waache nguvu ya uma inye kazi
   
 6. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,152
  Likes Received: 1,248
  Trophy Points: 280
  Kila siku lazima yai viza lipasuliwe, lazima mwaka huu wavae bukuta jezi hawa wezi wa nchi
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Msiwe na shaka saa ya ukombozi inanukia waliopo madarakani ni wakati wa kusoma alama za nyakati wasisubiri kung'olewa kinguvu
   
 8. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hebu nitoke zangu huku sakina nije town nijionee mwenyewe
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kha mzazi upo tayari eneo la tukio Kisongo?
   
 10. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,388
  Trophy Points: 280
  CCM na mafisadi wake.. CHADEMA na wananchi wake!
   
 11. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 910
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mkuu PJ tunasubiri picha.
   
 12. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  CCM ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Tena na kwa hasira Lema anaweza akaamua arudi tena mahabusu
   
 13. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ngoma imenoga, safi sana kamanda Lema.
   
 14. n

  ngurati JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  [​IMG]*STINGER

  Today*13:57
  #12***[​IMG]****

  [​IMG]Member[​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]


  Join Date : 18th October 2011
  Posts : 12

  Rep Power : 0   
 15. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wao CCM wana POLISI- Sisi CDM tuna Mungu anayetupigania.
   
 16. j

  jigoku JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkuu utujuze haraka tunasubiri sana kwa hamu,na je mji wa AR ukoje sasa hivi?kunaonekanaje ?
   
 17. Wakusini

  Wakusini JF-Expert Member

  #17
  Nov 7, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 451
  Likes Received: 310
  Trophy Points: 80
  Chadema kimbiza hao mafisad pambaaaaav!!! Nguv ya umma haishindwi ma chochote!
   
 18. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #18
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Safi sana shujaa wa mwaka Lema, mwakani atapata tuzo ya mwanaharakati mweusi Martin
   
 19. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #19
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,268
  Likes Received: 653
  Trophy Points: 280
  Rasha rasha zimeanza bado masika yenyewe
   
 20. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #20
  Nov 7, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  nmeshamreport kwa mod.watamshughulikia sasa hivi.mia
   
Loading...