Mfano mdogo wa kwanini serikali inakosa fedha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mfano mdogo wa kwanini serikali inakosa fedha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHASHA FARMING, Nov 8, 2011.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  wakuu kuna haya makampuni ya utalii ya kigeni kule arusha, haya makampuni yanafanya usanii wa kufa mtu,

  1. Hayana akaunt za mapato huku Tanzania, kuna akaunt za matumizi tu.

  1. Booking zote na payment zote hufanywa hukuhuko MAREKANI, ulaya na ASI, huku wageni huja kutalii tu.

  2. Akaunt zao haziko tanzania, ziko kwao huko usa na ulaya, huku tanzania kuna akaunt za mataumizi tu, mfano mafuta ya magari na kuwalipa mishahara wafanyakazi

  3. Tra inaweza vipi kujua kodi wanayo dai kwenye haya makampuni wakati akaunt zao na payment pamoja na booking hufanywa nje ya nchi? Ni njia gani wanatumia tra kukagua hizi kampuni za watalii?

  4. Na si kwamba serilaki haijui, no inajua sana haya ila ni ishu za ufisadi, make kuna vigogo na wao wamepewa share

  5. Huku tanzani watalii huja na pesa za kununua vinyago tu, ila malipo mengine ya usafiri na kila kitu yanakua yameishwa fanywa hukohuko kwao na makampuni.


  Kwa nini serikali isifilisike?
   
 2. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,394
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  No! This is too much! Kila kona kunavuja tu, hata sehemu tusizodhani.
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  kanchi haka katamu ukikapatia
   
 4. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haka ka nchi kako mwezini kana bleed miaka 50 lakini hakapatiwi dawa ya kukomesha hii damu inayomwagika kila siku.
   
Loading...