Vijana wa CCM tuandamaneni kupinga wanaopinga maamuzi sahihi ya serikali

Mchaga 25

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
464
114
Nimeona Nnauye Jr amelala, sasa nimeamua nifikirie kama magamba kwa uamuzi wa kuvalisha askari uniform za ccm ili waje kuanzisha vurugu. Kikao kinaendelea nawajuza kila nipatapo nafasi niko nao lakini siwapendi.

Naomba Muimarishe ulinzi kwa mbowe na slaa tayari snitchers wako hapo kiwanjani.

time is over
 
Si yuko US anapata per diem au umesahau ?Andamaneni kwanza kupinga uozo wa serikali yenu kabla ya mengine .
 
Vijana wa ccm masharobaro mtaweza maandamano ya kudai haki ninyi?????????????
 
Siku ccm mkiandamana mkajaza watu kama cdm ni siku mmeng'oa mafisadi wote vinginevyo labda cdm wawe wameshakufa
 
Nimeona Nnauye Jr amelala, sasa nimeamua nifikirie kama magamba kwa uamuzi wa kuvalisha askari uniform za ccm ili waje kuanzisha vurugu. Kikao kinaendelea nawajuza kila nipatapo nafasi niko nao lakini siwapendi.

Naomba Muimarishe ulinzi kwa mbowe na slaa tayari snitchers wako hapo kiwanjani.

time is over

Niliwaambia mapema kabla hamjapigwa mabomu lakini kwa uchelwa wenu wa kufikiri kwisha kabisa gadaffi wenu amekamatwa sasa ccm wanendelea kula bata..................wallah naapia kwa mwenyezi safari ya mabadiliko Tanzania tusubiri miaka mia ya uhuru wa Tanganyika ngojea nikachukue kadi ya CCM rasmi NNauye Jr Nipe jina la kituo karibu na Oysterbay nikajiandikishe kuwa mwanachama rasmi wa CCM.
 
mchukue, shangazi yako, mjomba wako, bb yako, babu yako na wengineo ndio muandamane na c raia wa kawaida wanaonunua sukari kilo sh. 3000
 
CCM ni chama Makini bana hawakurupuki ngojea tugonge wine na mgeni hatuna muda na wavuta bange
 
mkimaliza usisahau kumwambia akuhemee kisogoni kidogo masaburi mkubwa wewe

shauri yako wewe danganywa tu ona kinachotokea libya kamwe huwezi ukalala uwe tajiri fanya kazi hata azimio la iringa unajua walisemaje >>>>>> imekula upande wako chalii yangu>>>> mbege itakuzeesha
 
hawa jamaa ni watoto wa vigogo kama nnauye,Malisa,Ridhiwani,na wengine wengi ambao ni kula kulala tu !!! je wataweza kudai haki na wakati ni miongoni mwa wanufaikaji wa mfumo uliopo ???? nawakillisha peoples power !
 
Haha,

Mtaani kwetu, sijui kijana yeyote ambaye ni mwana CCM

Wengi ni chadema wakifuatiwa na vijana wa mapanga Shaa Shaa
 
hawa jamaa ni watoto wa vigogo kama nnauye,Malisa,Ridhiwani,na wengine wengi ambao ni kula kulala tu !!! je wataweza kudai haki na wakati ni miongoni mwa wanufaikaji wa mfumo uliopo ???? nawakillisha peoples power !
Jibu na wewe uko tayari kumwaga ugali wako??? si njaa inayokusibu bora zimwi ulijualo....................
 
Back
Top Bottom