Serikali yakopa CRDB kulipa wafanyakazi

naninibaraka

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
910
668
Ni jambo la ajabu na la kushangaza serikali kushindwa kulipa wafanyakazi wake mpaka kufikia kukopa bank za ndani,utendaji wa sasa wa serikali kushindwa kusimamia ukusanyaji wa mapato na matumiz mabaya ya serikali ndo uliopelekea ghali kuwa hivi,miradi mingi ya barabara imesimama pia,uchumi umedora,mfumuko wa bei uko juu,serikali ipunguze gharama za anasa kama safari za nje za viongozi wetu,ununuzi wa magari ya kifahari!nchi imefilisika...
Nawasilisha
 
Unadhani kuna anaeona hali ni ngumu? Wenzio wako Tanga eti kwenye mashindano ya shimiwi!
 
Na mwezi ujao watakopa wapi tena??? July mba...........................li!!! Hivi na zile za posho za wabunge watakopa au zenyewe zisha tengwa siku nyingi!!
 
Nchiii bora gadaffi
We unalala njaa unaalika wageni utawalisha na nini.?
Kila siku mh angani tu wakati nchi hipo taabani.?
Tatizo ni wafanyakazi wa serikali wamelala usingizi.
 
Ndiyo maana mshahara wangu wa Oktoba ulizidi kwa laki 2. Sijui watanikata mwezi ujao? Mweeeeee
 
Naomba source mkuu
Ni jambo la ajabu na la kushangaza serikali kushindwa kulipa wafanyakazi wake mpaka kufikia kukopa bank za ndani,utendaji wa sasa wa serikali kushindwa kusimamia ukusanyaji wa mapato na matumiz mabaya ya serikali ndo uliopelekea ghali kuwa hivi,miradi mingi ya barabara imesimama pia,uchumi umedora,mfumuko wa bei uko juu,serikali ipunguze gharama za anasa kama safari za nje za viongozi wetu,ununuzi wa magari ya kifahari!nchi imefilisika...
Nawasilisha
 
Ndiyo maana mshahara wangu wa Oktoba ulizidi kwa laki 2. Sijui watanikata mwezi ujao? Mweeeeee

we jamaa nahisi upo dom kwa ajiri ya kuwa unahudhuria mirembe pindi hali yako inapokuwa siyo ya kuridhisha...
 
halafu hivi ili ukwalifai kwenda shimiwi kwa akina mama lazima uwe mnene na uwe na ma.t.a.k.o makubwa eeeh
 
Mweee! hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Nimekosa jibu!
 
mods mbona mmebania post yangu? naamini ina ukweli ndani yake!!! Is this JF I know or what? Sure I was away na sijaingia humu. Kama kuna marekebisho ya posting hebu nipeni link nikabukue huko!!
 
Ni jambo la ajabu na la kushangaza serikali kushindwa kulipa wafanyakazi wake mpaka kufikia kukopa bank za ndani,utendaji wa sasa wa serikali kushindwa kusimamia ukusanyaji wa mapato na matumiz mabaya ya serikali ndo uliopelekea ghali kuwa hivi,miradi mingi ya barabara imesimama pia,uchumi umedora,mfumuko wa bei uko juu,serikali ipunguze gharama za anasa kama safari za nje za viongozi wetu,ununuzi wa magari ya kifahari!nchi imefilisika...
Nawasilisha

Kukopa sio tatizo, inategemea kukopa kwa njia gani. Kwa mfano kama serikali imekopa kupitia Treasury bill ni njia mojawapo ya kurudisha heshima ya fedha (kuongeza thamani kwa kuzipunguza kwenye mzunguko). kama imekopa kama mtu mwingine ili iwe inarejesha kila mwezi, basi hapo kuna tatizo. Aidha naungana na wewe katika hoja nyingine.
 
halafu hivi ili ukwalifai kwenda shimiwi kwa akina mama lazima uwe mnene na uwe na ma.t.a.k.o makubwa eeeh

Duh Kigogo unajua kufukufunyua mpaka umeona wanaoenda shimiwi wamejazia....kuna kaukweli ndani yake vimbaumbau haviendagi shimiwi
 
Back
Top Bottom