Ni nini tafsiri ya kuachiwa kwa washukiwa wa vurugu za kidini Mwanza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni nini tafsiri ya kuachiwa kwa washukiwa wa vurugu za kidini Mwanza?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Calnde, Nov 6, 2011.

 1. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Juzi zimetokea fujo na vurugu za kidini mwanza. Wameshikiliwa watu kadhaa kwa fujo hizo. Cha ajabu watu hao wakaachiwa baada ya

  mazungumzo baina ya kamati ulinzi na usalama na BAKWATA Mwanza. Tatizo si kuachiwa kwao, bali sababu. . kwamba 'ni kuhakikisha

  tunaweka mambo sawa na kuhakikisha amani na usalama'.

  My take:
  1. Sidhani kama ni utaratibu mzuri kuwaachia watuhumiwa kwa sababu za kulinda amani. Watuhumiwa waachiwe ikiwa tuu hawana makosa kwa

  kuthibitishwa na mahakama kama katiba yetu inavyotaka. Ikiwa wakristo watafanya maandamano na fujo kuwatetea hao wachoma kuran, hao

  watuhumiwa wataachiwa ili kulinda amani?

  2. Kwanini maamuzi kama hayo hayafanywi Arusha ambako amani iko mashakani kila kukicha? Tutafsiri vipi maamuzi ya namna hii? Si ni polisi

  hao hao wanahusika. Tanzania should strive to avoid double standards kwa kweli.
   
 2. m

  mtznunda Senior Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ww ni tatizo kuliko kuachiwa kwa hao watu
   
 3. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jiulize raisi, makamu wake, raisi wa nchi jirani ya zanzibar na makamu wake, waziri wa ulinzi, waziri wa mambo ya ndani, mkuu wa jeshi la polisi, mnadhimu mkuu wa jeshi la ulinzi nk nk ni akina nani? ukilijua hilo ndo ujue hatari inayowakabili wale wanaotofautiana nao kiimani.
   
 4. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kwa kuanzia hakuna mtu aliyechoma kuran. Ni kuwa walichoma karatasi yenye kaaba na wasichana 2 wakiwa wamejishika mikono katika kuiabudu. Walichoma kwa sababu mama waliyemwombea akatokwa na majini alidai karatasi hiyo inamyima amani. Ilichomwa pamoja na hirizi zilizokuwa zimetolewa na mganga. Basi hasira ni kuwa kwa nini akakubali kuombewa na makafiri? Na majini hayo "matakatifu" yakanyimwa haki yake ya makao.

  Hao waliwekwa ndani muda mrefu tu. Kisa eti wametuhumiwa kuchoma kkurani. waliochoma makanisa 3 baada ya hapo kama kitendo cha kulipiza kisasi wao hawakukamatwa!! Je hii si double standard?
   
 5. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,169
  Likes Received: 531
  Trophy Points: 280
  Wakristo wakikamatwa watasota ndani mpaka mahakama itakavyo amuru kwa waislamu kunakuwa na Muafaka.
  Serikali yetu Ina Ubaguzi wa kidini kisrisiri na inawapendelea waislamu hata Kama wamevunja sheria.
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  sioni tatizo kama wameachiwa kwa maslahi ya nchi ndio maana hata wafungwa hupewa msamaha
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  udini ukikukolea kila jambo unalielewa vibaya ni kwa sababu una mawazo ya kidini
   
 8. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Hakuna maslahi ya nchi hapo ni kuendekeza wahuni na wahalifu wanaotumia kichaka cha dini ya Uislamu.
   
 9. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,651
  Likes Received: 21,866
  Trophy Points: 280
  Hujaeleweka mkuu unataka kusema nini?
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  hakuna jambo la maana linaloliona kwenye post yako zaidi ya kutudodosa imani zetu na kufurahia jinsi tutakavyovutana kuhusu suala hilo
   
 11. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hapo ndipo hatari ilipo. Maana kama mahakama itaona kosa hilo la kuchomwa kurani halitathibitika maana yake wataachiwa huru. Then u can guess

  what next! Maana kama kuahirishwa kwa kesi thats what happening, vipi wakiachiwa huru? and somebody with emotions will say ni mtizamo wa

  kidini. We have to go to the substance of the matter.
   
 12. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #12
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  its so simple to allege something kama huna point. Hebu nieleze wewe ulivyoelewa maamuzi hayo nje ya context ya udini?
   
 13. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #13
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  You have an option to opt in or out. If u think its religious, have a nice evening! If u think there is something concrete especially on our criminal

  justice system u can leave ur comments
   
 14. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #14
  Nov 6, 2011
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nimesema mambo mawili.

  1. Sidhani kama maamuzi ya namna hii si mazuri

  2.Tanzania should avoid double standards
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kama hatua hiyo imeepusha vurugu hata kama hukupendezwa nayo kwa jamii nzima ni hatua njema kwa afya ya taifa letu
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Nov 6, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kumbukumbu za kisheria na kimahakama zinaonyesha vipi kama si watuhumiwa wa kwanza nchini kuachiwa kwa mtindo huo hakuna tatizo
   
 17. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #17
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ongezea - Mkuu wa usalama wa taifa
   
 18. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #18
  Nov 6, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo wewe ulitaka hao washukiwa na watuhumiwa wanyongwe ili wewe na wenzio wenye chuki za kipuuzi dhidi ya dini msizoziamini mfanye sherehe sio?
   
 19. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #19
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hapo nadhani itabidi hao watuhumiwa wafungwe tu ili kuokoa maisha yao.
   
 20. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #20
  Nov 6, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tatizo nchi hii ni mfumo kristo,
   
Loading...