itakuwa ndiyo mwisho wa dunia??
miaka 5 tena na ccm itakuwaje?
itabidi tuachane na ushabiki wa siasa tuendelee na shughuli zetu tuwapishe ccm watawale milele
nasema hivi kwa sababu mashabiki wa...
Hatimaye ujenzi wa daraja la Kigamboni lililokuwa likisubiriwa na wakazi wengi wa jiji la Dar es Salaam, unatarajia kuanza mapema mwakani.
Daraja hilo linatarajia kujengwa eneo la Kurasini ambapo...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA [COLOR="#0000CD"]MAENDELEO CHADEMA MKOA WA SINGDA
TAMKO LA CHADEMA JUU YA UNYANYASWAJI WA HAKI YA KIDEMOKRASIA ANAYOFANYIWA MH.GODBLESS LEMA, KKIONGOZI WA UPINZANI NA...
Amini usiamini sikio la kufa halisikii dawa, chadema ya umbuka katika kutaka kushawishi uma ukae kwenye Mvua wiki moja. Wana Arusha wana Mapinduzi wasema no no no wakubali kutii amri halali ya...
'Nimeona niwashirikishe wanaJF makala hii ya ndugu Zitto Kabwe kuhusu Katiba ambayo itatoka kesho katika magazeti na ameisambaza kwa wadau mbalimbali nikiwemo mimi'
Muswada wa Marekebisho ya...
Hakuna shaka CCM inaharakishwa kujimaliza kwani chama hicho sasa hivi kiko katika kupigana a 2-front war – yaani vita ya kutoka pande mbili – ya kutoka ndani mwake (kupambana na...
kwa wale mabush lawyers mimi nikiwa mmoja wao tungeomba ufafanuzi wa gharama ambayo taifa letu limeingia kwa shughuli nzima ya kumkaribisha prince charles.nataka kufanya mlinganisho ili tujue...
Ndugu wanajamii suala hili limekuwa likinipa taabu sana, inawezekanaje Rais kuondoka nchini wakati nchi yake ikiwa katika wakati fulani mgumu aidha kisiasa au kijamii. Raisi Kikwete mara baada tu...
Nimesituka sana , ni mda sasa Wanasiasa wote wapo kimya kuhusu suala la Ushoga.
Mimi Nilitegemea , Wataitisha maandamano kupinga Ushoga lakini Vyama vyote Vya siasa wapo kimya , wamewachia...
Mimi kwa muda mrefu sasa nimekua nikijiuliza ni kitugani mashirika ya Fedha na Nchi za magaharibi wakionacho Tanzania na sisi hatukioni, Mh. Jakaya Mrisho kikwete alipo kwenda Marekani hivi...
Mheshimiwa waziri mkuu kwa niaba ya wananchi ninaomba utupe msaada wako katika kutatua utata na mkanganyiko uliopo hapa.
Kulitokea mitazamo tofauti kuhusu Zanzibar kama ni nchi au si nchi? Mpaka...
Wadau: Nilikuwa naumiza kichwa changu bure kwamba ilikuwaje hakimu yule wa Arusha alikataa kumtoa Lema mahabusu huku dhamana aliisha iweka wazi. Kumbe ni msukumo wa kisiasa kutoka kwa Mkuu wa...
Wakati wa uchaguzi haramu wa umeya wa Arusha, polisi walishiriki kwa kulinda kikao kile batili, waliwanyanyasa sana mbunge lema na madiwani wa chadema hasa pale walipotaka kuhoji uhalali wa kile...
Jinamizi la umeya bado linakiandama chama cha CHADEMA baada ya kuibuka mgogoro mwingine katika halmashauri mpya ya Kahama ambapo madiwani wa CHADEMA na viongozi wake wamegawanyika makundi mawili...
Tunaomba Wabunge wa Chadema kuachana na Kikao cha 5 kinachoendelea Hapa Dodoma na kuelekeza nguvu Arusha kwakuendeleza harakati na Juhudi zilizo anzishwa huko Arusha kwakushinikiza serikali...
Tuesday, 08 November 2011 21:33
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
Habel Chidawali, Dodoma
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema bado kuna kazi ya kufanya katika bodi ya mikopo ya elimu ya juu...
Matukio ya jana na leo katika mji wa Ukombozi wa Arusha umeianika serikali ya CCM bila nguo mbele ya mgeni wao kutoka nchi tunakotembezea bakuli hali nchi yetu ni tajiri.
Kikubwa zaidi...
Ndugu zangu mimi nadhani nchi pasipo usawa kwa wote sio nzuri hata kidogo, imani ni kitu kizuri na sio cha kuchezea hata kidogo na Tanzania tujivunie sana amani ambayo misingi yake imejengwa na...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magessa Mulongo ameonya kuwa vyombo vya dola havitakubali kuwaacha baadhi ya watu kuigeuza Arusha sehemu isiyotawalika akisema kuanzia sasa, yeyote atakayejaribu kuvuruga...