Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Saturday, 12 November 2011 21:06 Katibu Mkuu wa Chadema,Dk Wilbroad Slaa VIONGOZI WA DINI WAONYA, WATAKATA MWAFAKA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
:kandoro mkuu wa mkoa ameshindwa kutuliza kikundi kidogo cha matching guy.hadi anazidiwa na kijana mdogo Sugu unamfukuza mlala hoi aende wapi?sisi tunatumikishwa tu :mimi polisi mtu akinipa hata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndg zangu wana jf nawaombeni ushauri wenu, nimezingatia yafuatayo kabla ya yote, Jf injumuisha intellectuals na ndo mana tuna slogan yetu kuwa jf's ni great thinkers, pili pia palipo na wengi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana JF hivi mmeona kwenye taarifa ya habari itv jinsi mbunge wa mbeya mjini alivyojaza mtu kwenye mkutano na wapiga kura wake.? Wabaya wa sugu mtachonga sana lakini Sugu ni level nyingine. Hata...
10 Reactions
147 Replies
15K Views
Kuna kila dalili ya kutokea maandamano makubwa na vurugu za kutosha kama kesho mswada utapelekwa bungeni na kusomwa kwa mara ya pili na hatimaye kupitishwa kwa unafiki na wabunge [ccm]. KAMA...
0 Reactions
64 Replies
5K Views
Kutoka katika mdahalo wa ITV, Wanaharakati wameazimia kuandamana bila kikomo kwa lengo la kushinikiza katiba endapo muswaada huo hautakidhi mahitaji mengi ya wananchi ambao unategemea kusomwa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuuliza, Hv huyu mteule wa m.kwere hapa ARA, mbona amekuwa kero anataka kutucontrol wazawa? Ngoja mbunge wetu atoke keshokutwa! ile ya mbeya itakuwa cha mtoto! lazima ajue ARA sio...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
lazima chama tawala ccm kiendelee kushinda tena kwa ushindi wa kishindo kwa kuwa mbinu zake na sera zake zinalenga wakulima ambao ni zaidi ya 70% ya watanzania.naipongeza ccm kwa kuendelea...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
wana JF mliopo mbali na ITV mjadala wa KATIBA umepamba moto kwani wajumbe wanaonesha nia ya hata kuingia mitaani ili kudai katiba mpya. Wajumbe wamewashauri jeshi la polisi kuweka silaha zao chini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NATIONAL CONVENTION FOR CONSTRUCTION AND REFORM –MAGEUZI (NCCR-MAGEUZI) TAMKO LA CHAMA KUHUSU MASLAHI YA TAIFA LETU LA TANZANIA Ndugu wananchi, Baada ya kutafakari kwa kina mambo kadhaa...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Sun, Nov 13th, 2011 Sun, Nov 13th, 2011| Tanzania The Minister for Foreign Affairs and International Co-operation, Mr Bernard Membe (left) toasts with the Angola Ambassador to Tanzania, Prof...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi nimefuatilia kwa makini hata kwenye kilabu za mbege! Ni ukweli usiopingika kuwa baba huyu kakataliwa na watoto. Watanzania wazi wazi sasa hawamtaki JK wala serikali yake. Kama kuna wale...
1 Reactions
0 Replies
885 Views
Akiongea na waandishi wa habari mkurugenzi huyo amedai wafanyabiashara wanatumika tu kuna watu wapo nyuma ya hayo maandamano na vurugu! Wakati huo huo Kandoro amewapiga mkwara wanaoleta vurugu...
0 Reactions
119 Replies
9K Views
Naomba niwashirikishe jf habari hii ya mkuu wa mkoa wa arusha ambayo imeandikwa na Mwananchi leo. Friday, 11 November 2011 21:26 0digg Mwenyekiti wa Chadema,Freeman Mboye Peter...
2 Reactions
52 Replies
5K Views
Takwimu zinatengenezwa ili kukidhi matakwa ya kisiasa kwamba tushinde na kukesha tukikosoa wengine bila kujikosoa. Wewe wenyewe (mwanaJF) hujasema umeifanyia nini nchi yako. Ni nini mchango wako...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Leo kiunaga ubaga natoa uchambuzi wa Taifa letu miaka ile ya sabini na leo wakati tuna adhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika. Utakapo fika mwisho wa habari hii fupi naomba utoe jibu lako...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
1. Ujenzi wa Msikiti mkubwa na wakisasa 2. Ujenzi wa Chuo kikuu cha Kiislamu 3. Ujenzi wa Madrasa kubwa ya kisasa Ndugu wananchi Serikali yenu inafanya kila jitihada kuhakikisha inakamilisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekua nikijiuliza kwa nini viongozi wa Africa si wepesi wa kuachia madaraka hata pale inapoonekana mambo hayendi vizuri kwenye suala zima la kukuza uchumi achailia mabali kutimiza ahadi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoka CUF na CCM leo hawakutafuna maneno na waliungana pamoja kueleza waziwazi kuwa Mswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba unapaswa kuwapa fursa wananchi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nimepata bahati ya kutembelea nchi kadhaa hapa ulimwenguni. Wenzetu wana shida zao kama sisi tulivyo na za kwetu. Kinachotofautisha wenzetu ambao tunasema wanashida na sisi ni kuwa hata kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…