Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wawakilishi wataka wazanzibari wapewe uhuru wakuchagua juu ya muungano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GHIBUU, Nov 13, 2011.

 1. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 2,837
  Likes Received: 372
  Trophy Points: 180
  Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoka CUF na CCM leo hawakutafuna maneno na waliungana pamoja kueleza waziwazi kuwa Mswada wa Sheria ya Mapitio ya Katiba unapaswa kuwapa fursa wananchi kujadili mambo yote likiwemo Muungano na kwamba iwapo wanaona hauna maslahi nao na wakataka usiwepo, basi maoni hayo yaheshimiwe maana mamlaka ya nchi yanatoka na yanaamuliwa na wananchi wenyewe. Samwel Sitta aliondoka na ujumbe huo.
   
 2. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 827
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Ni vema wakapewa fursa ya kupiga kura ya maoni.
   
 3. k

  king11 JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ​Zanzibar ni nchi au sio nchi?
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,407
  Likes Received: 1,119
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaa jibu utalipata kwenye jibu la swali hili,je tanganyika nchi?
   
 5. musmyl

  musmyl Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nadhani wakati umefika wa kuheshimiana na kuwa wa wazi ..
   
 6. Y

  Yusuphsabury Senior Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mi naona ni vzr wapewe nafasi ya kupiga kura wanaotaka muungano waseme ndiooo na wasiotaka waseme siooo.kwani wananchi ndio wenye maamuzi juu ya nchi yao na serikari yao!
   
 7. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 9,089
  Likes Received: 1,840
  Trophy Points: 280
  hivi kwa nini huu muungano unadumishwa kimabavu?let people decide
   
 8. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 15,170
  Likes Received: 2,330
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa wapemba waliojazana huku wakiulizwa nao watasema hawataki muungano?
   
 9. k

  kinenekejo Senior Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huu upuuzi sasa. Kama zanzibar ni nchi basi ukerewe nayo nchi, au pemba nayo nchi, au dsm nayo nchi maana dsm ina watu milioni 4, wakati zanzbar ina milioni 1 na ina rais, wakati dsm inaongozwa na mkuu wa mkoa.
   
 10. norbit

  norbit JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 306
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  @kinenekejo: rudi shule, hujui unaongea nn? nailaumu ccm kukunyima elimu
   
 11. P

  Ptz JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  powa mkuu
   
Loading...