ccm na wakulima,chadema na wamachinga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ccm na wakulima,chadema na wamachinga.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jingalao, Nov 13, 2011.

 1. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,281
  Likes Received: 10,465
  Trophy Points: 280
  lazima chama tawala ccm kiendelee kushinda tena kwa ushindi wa kishindo kwa kuwa mbinu zake na sera zake zinalenga wakulima ambao ni zaidi ya 70% ya watanzania.naipongeza ccm kwa kuendelea kuwajali wakulima hata kama hawajafaidika kimaisha lakini wanaona mwanga bora wakiichagua ccm.cdm endeleeni kukumbatia wahuni,wafungwa na wapiga debe wa stand ambao hawafiki hata asilimia 5 ya wapiga kura.
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu, kweli uliamua kuchagua ID ya Jingalao ukukosea..

  ID yako inafanana na michango yako..
   
 3. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Afadhali hata wewe umeliona hilo! Asante Jingalao kwa kuongeza idadi ya michango JF
   
 4. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Jina lako limenifanya nishindwe kukujudge kwa kina! Ila sitakuwa nimetenda vema kama sitakufahamisha kuwa CCM ilikuwa na wakulima enzi za Nyerere lakini sasa iko na Wafanyabiashara na Wawekezaji kama hujui hilo basi hujasoma nyakati.
   
 5. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Jina lako limenifanya nishindwe kukujudge kwa kina! Ila sitakuwa nimetenda vema kama sitakufahamisha kuwa CCM ilikuwa na wakulima enzi za Nyerere lakini sasa iko na Wafanyabiashara na Wawekezaji kama hujui hilo basi jicho lako la tatu linahitlafu na utakuwa hujasoma nyakati.
   
 6. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Kweli wewe ni jingalao......watakutumia mwishoni watakuacha.
   
 7. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Na wewe umeliona hili.......au leo hujapewa malipo na Nape
   
 8. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  When the English said Do not argue with a fool or else people mighty not notice the difference, were very correct.
  Jina tuu linatosha achilia mbali pumba alizotoa. Kwanza CCM hawako pamoja na wakulima wao wamekumbatia mafisadi.
   
 9. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,281
  Likes Received: 10,465
  Trophy Points: 280
  unasemaje kuhusu sera ya kilimo kwanza.vipi kuhusu kutenganisha siasa na biashara?ccm is on the right track na inajua wengi wanataka nini.
   
 10. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,281
  Likes Received: 10,465
  Trophy Points: 280
  mimi nimeshazeeka siogopi kutumiwa na kuachwa.
   
 11. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,281
  Likes Received: 10,465
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo chadema ndio wako na wakulima?
   
 12. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Kwenye mshahara wa Dr Slaa wa milioni 7 anakupa sh ngapi?
   
 13. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,281
  Likes Received: 10,465
  Trophy Points: 280
  ccm inaonyesha kisera na kimatendo kuwa iko pamoja na wakulima.
   
 14. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  AKILI ZAKO KAMA C.C.M!wakulima gani?
   
 15. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,281
  Likes Received: 10,465
  Trophy Points: 280
  inawezekana unaziona akili zangu ziko kama ccm,hebu nitajie ni sera gani au matendo gani ya cdm yanaonyesha cdm inawapenda wakulima.
   
Loading...