Magessa, Alichaguliwa kwa kura Ngapi za Wana Arusha?

Mchaka Mchaka

JF-Expert Member
Jul 20, 2010
4,516
1,404
Wakuu naomba kuuliza, Hv huyu mteule wa m.kwere hapa ARA, mbona amekuwa kero anataka kutucontrol wazawa?
Ngoja mbunge wetu atoke keshokutwa! ile ya mbeya itakuwa cha mtoto! lazima ajue ARA sio mahali pa kufanya haya anayofanya ss!
 
huyu mkurya anajidanganya ajui kikwete kamuingiza mjini kwa kumoa mkoa ambao watu wake walishaikata ccm muda mrefu sana na wao ni nchi inaitwa arusha
 
Dalili za mvua mawingu. Huyo mbona hana siku mingi................
 
Jeshi limejipanga kwa uhuni wa aina yoyote mtakaojaribu kuufanya. Mtakula mkong'oto.
 
huyu mkurya anajidanganya ajui kikwete kamuingiza mjini kwa kumoa mkoa ambao watu wake walishaikata ccm muda mrefu sana na wao ni nchi inaitwa arusha
Kinachoniudhi CCM na serikali yake hawana cha maana wanachokifanya halafu wanataka wapendwe, watapendwaje sasa hapo kama si ujinga. Hebu jiulize ikiwa umeoa halafu hutoi huduma umafikiri ndoa itakuwa na amani kweli hapo! Ili serikali ya CCM iheshimike iache blah blah na ndipo hata viongozi wake hawatakuwa na wakati mgumu wa kuongoza.
 
Jeshi limejipanga kwa uhuni wa aina yoyote mtakaojaribu kuufanya. Mtakula mkong'oto.

Sawa Magesa Malongo, najua umejipanga kufanya utakavyo lakini ukiona mtu ana confidence sana, hebu jiulize confidence yake inatokea wapi? Serikali ya CCM confidence yake ni polisi na nguvu ya pesa ya kifisadi lakini CDM ni nguvu ya umma.

Ni rahisi kudeal na ufisadi na kuutokomeza na hivyo kuua confidence ya CCM lakini ni ngumu kudeal na confidence ya nguvu ya umma.
 
Wakuu naomba kuuliza, Hv huyu mteule wa m.kwere hapa ARA, mbona amekuwa kero anataka kutucontrol wazawa?
Ngoja mbunge wetu atoke keshokutwa! ile ya mbeya itakuwa cha mtoto! lazima ajue ARA sio mahali pa kufanya haya anayofanya ss!

ARA ni wapi? Watu wa Arusha hatuna hulka ya kuchagua Shoga, ila hili lishoga limeteuliwa na Shoga mwenzie. Arusha tulichagua Jembe la kufa mtu. God bless Lema!
 
Jeshi limejipanga kwa uhuni wa aina yoyote mtakaojaribu kuufanya. Mtakula mkong'oto.

Kuongoza nchi kwa kuwapiga na kuwatia hofu raia ni njia ya kizamani sana iliyopitwa na wakati. Matokeo ya kufanya hivyo katika mazingira ya leo ni mabaya mno kuliko yale ya kuwasikiliza raia hao mkaongea na kufikia mwafaka hata kama hukubalini na yote yatakayotokana na mwafaka huo.
 
ARA ni wapi? Watu wa Arusha hatuna hulka ya kuchagua Shoga, ila hili lishoga limeteuliwa na Shoga mwenzie. Arusha tulichagua Jembe la kufa mtu. God bless Lema!

Shoga sio neno sahihi la kiswahili, kiswahili fasaha ni ******.
 
Wakuu naomba kuuliza, Hv huyu mteule wa m.kwere hapa ARA, mbona amekuwa kero anataka kutucontrol wazawa?
Ngoja mbunge wetu atoke keshokutwa! ile ya mbeya itakuwa cha mtoto! lazima ajue ARA sio mahali pa kufanya haya anayofanya ss!

Jaribuni mkione cha mtemakuni wapuuzi nyie. Nyie mnadhani nchi hii ni ya kuonyesha mlivyokosa malezi na umahiri wenu wa kula mibangi! Na ninatamani huyo mvuta bangi mwenzenu Hakimu amkatalie dhamana.
 
Jeshi limejipanga kwa uhuni wa aina yoyote mtakaojaribu kuufanya. Mtakula mkong'oto.

dawa ya maandamano nikuwasiliza na kuwasindikiza ila utakapo wazuia utakuwa unawatafutia sababu sawa kijana chukua hiyo..
 
Jaribuni mkione cha mtemakuni wapuuzi nyie. Nyie mnadhani nchi hii ni ya kuonyesha mlivyokosa malezi na umahiri wenu wa kula mibangi! Na ninatamani huyo mvuta bangi mwenzenu Hakimu amkatalie dhamana.

halafu akishamkatalia utafanya nini..
 
Jaribuni mkione cha mtemakuni wapuuzi nyie. Nyie mnadhani nchi hii ni ya kuonyesha mlivyokosa malezi na umahiri wenu wa kula mibangi! Na ninatamani huyo mvuta bangi mwenzenu Hakimu amkatalie dhamana.
Tumia akili kufikiri,masaburi kazi yake ni kutoa mavi,jitambue wewe!
 
Jeshi limejipanga kwa uhuni wa aina yoyote mtakaojaribu kuufanya. Mtakula mkong'oto.
Kama kweli wewe ni mzee kama jina lako lilivyo inaonekana umeshindwa kuona mawingu ya mvua badala yake unaanika unga nje kisha unaelekea kazini.
Haijawahi na haitakaa itokee risasi kushinda nguvu ya umma, huo unaouita mkong'oto hautaishia kutuliza ghasia bali utaishia kuwanyima uhalali wa kutawala. Nashindwa kuwaelewa kwanini hamuoni hilo mnakazania nguvu ya dola badala kutetea haki za raia.
 
Jaribuni mkione cha mtemakuni wapuuzi nyie. Nyie mnadhani nchi hii ni ya kuonyesha mlivyokosa malezi na umahiri wenu wa kula mibangi! Na ninatamani huyo mvuta bangi mwenzenu Hakimu amkatalie dhamana.
Inavyoonekana wewe ni wale wanaoona rangi nyeupe lakini wanakazana kusema ni nyeusi, nafikiri wana jf hakuna haja ya kupoteza muda na taipu hii ya watu, maana kwake kudai haki ni kukosa malezi na kula bangi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom