Maandamano yasiyo koma kupinga KATIBA endapo isipokidhi mahitaji. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamano yasiyo koma kupinga KATIBA endapo isipokidhi mahitaji.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee wa Rula, Nov 13, 2011.

 1. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kutoka katika mdahalo wa ITV,
  Wanaharakati wameazimia kuandamana bila kikomo kwa lengo la kushinikiza katiba endapo muswaada huo hautakidhi mahitaji mengi ya wananchi ambao unategemea kusomwa kesho.
  Wamesema watajipa muda wa mwezi mmoja ili kufanya maandalizi ya kutosha ambayo hakuna polisi wala mgambo watakaouzuia maandamano hayo.

   
 2. akilimtindi

  akilimtindi JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2008
  Messages: 423
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Thank you God, that's what I wanted... watu wa kada zote kujiunga na kusema tunaandamana hadi kieleweke.
   
 3. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Yap Yap!!!
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nimeona mdahalo, NASUBIRI MAANDAMANO!
   
 5. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Naisubiri hiyo siku nione muitiko wa watanzania wanaotaka TANZANIA MPYA. Am in
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nadhani apa huitaji kuwa ccm wala cdm utaifa mbele pls
   
 7. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 848
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Nami nimefuatilia kwa makini mdahalo!Watanzania wana uchungu sana na nchi yao! Yaani kina mama wameongea kwa hisia sana hadi kunifanya nitokwe na machozi ya kuhamasika! I can't wait to see that day! Mungu tusaidie waja wako na uwasaidie wabunge na viongozi wa nchi hii wasindelee kutuchezea! Askari wa majeshi yote ujumbe uwafikie: siku hiyo MUWEKE SILAHA CHINI MTULINDE! Tanzania yetu wote!
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nadhani kuanzia mdahalo ulipoisha mkuu wa nchi atakuwa anaona maruwe maruwe, hajui aanzie wapi kuzuia maandamano hayo ambayo yatakuwa nchi nzima.
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,412
  Likes Received: 81,450
  Trophy Points: 280
  Hizi ni dalili nyingine kwamba sasa Watanzania wamechoshwa na usanii wa Kikwete na Magamba.
   
 10. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mzee wa rula ungekuwa unaangalia kwanza New Posts ndio unaanzisha post hii kitu kuna mtu kishaianzisha..
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,999
  Trophy Points: 280
  Kuna mpemba mmoja aliyejitambulisha kama msomi mwanasheria kasema 'ndo maana nyie wabara hatuwapendi' hivi huo umoja wa kitaifa uko wapi? Muungano uvunjike tuepukane na wapemba
   
 12. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Shime wananchi maisha ya kila mmoja yapo mikononi mwake,tuamke tudai haki zetuu.
   
 13. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #13
  Nov 13, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Aisee ntachukua likizo kazini ili nishiriki hayo maandamano. CCM wanajifanya wanajua kila kitu kuchakachua mpaka katiba safari hii wamenoa TUTAANDAMANA Mpaka ikulu pale tuchukue nchi. Suala la katiba ni nyeti sana tena sana wasicheze na akili zetu.
   
 14. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ndetichia, we ni mtata hahahahaha....
  Sure lakini Mkuu Mzee wa Rula ionganishe hii na ya Angel Msoffe if u dont mind lakini
   
 15. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wala isikutishe MoDs wapo wataiunganisha na thread iliyotangilia yenye maudhui kama hii. Pamoja na hayo thread kama hiyo sikuiona.
   
 16. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wala siwezi kumind kabisa mkuu, lengo si kutafuta sifa ni kuhabarishana. Nashukuru.
   
 17. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #17
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Ni lazima usikie hili neno la kuwa viongozi wanaoandaa maandamano haya wanatumiwa na viongozi wa kisiasa, sijui wao anawatumia nani? Labda mafisadi.
   
 18. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nimesikia kibamba kasema wanaofisi kila wilaya nchi nzima sasa kila wilaya ikiandaa maandamano kazi wanayo magamba
   
 19. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #19
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nadhani kuanzia mdahalo ulipoisha mkuu wa nchi atakuwa anaona maruwe maruwe, hajui aanzie wapi kuzuia maandamano hayo ambayo yatakuw nchi nzima.
   
 20. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ningewashauri wakina Kibamba wachukue ile staili ya CDM kama pale NMC Arusha,
  waweke point kila mkoa.
  Wala hamna kutoka jasho, watu mnaenda pale kwenye mkutano mnakaa mnapiga stori mnasikiliza hotuba za mapinduzi, mixer manyimbo ya ukweli ya kiharakati.
   
Loading...