Baba anapokataliwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba anapokataliwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Eeka Mangi, Nov 13, 2011.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mimi nimefuatilia kwa makini hata kwenye kilabu za mbege! Ni ukweli usiopingika kuwa baba huyu kakataliwa na watoto. Watanzania wazi wazi sasa hawamtaki JK wala serikali yake. Kama kuna wale wanaomuunga mkono basi ni wachache sana. Ikifika mahali kati ya waongeaji 50 hakuna hata mmoja anayetaja zuri la serikali basi ujue kuwa hutakiwi! Kila mtu anasema tutaingia barabarani kuna jambo. Miaka ile tuliwadanganya watoto wetu kuwa mama kaenda kununua mtoto ama kadondoshwa na ndege umepitwa na wakati. Watoto wanajua kuwa mama hubeba mimba na mwisho huzaa!
  Kwaheri CCM, kwaheri JK.
   
Loading...