Maandamano makubwa

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,781
1,639
Kuna kila dalili ya kutokea maandamano makubwa na vurugu za kutosha kama kesho mswada utapelekwa bungeni na kusomwa kwa mara ya pili na hatimaye kupitishwa kwa unafiki na wabunge [ccm]. KAMA SERIKALI YA CCM KM INA MASIKIO ISIKILIZE MATAKWA YA WANANCHI.
 
ndo manake kesho watanitoa utumbo mimi..yaaani kesho ndo mwanzo wa kuangusha serikali hii legelege
 
ikiwezekana chadema waongoze na kuratibu hayo maandamano ili waongeze nguvu... hakina ukombozi umefika...
 
ikiwezekana chadema waongoze na kuratibu hayo maandamano ili waongeze nguvu... hakina ukombozi umefika...

Mkuu unafiki umeanza lini ? Chadema hawana haja ya kuandamana ili wakubalike au wapende chart .Katiba ni ya kila mmoja wetu si Chama wala nini taasisi za dini mkuu .Wewe ingia baranarani kwa jina la Tanzania iacheni Chadema kwa hili .
 
Kwa nini hasa hii serikali inataka kufanya kiini macho kwenye suala la katiba jamani. Katiba ya nchi haihitaji ushabiki wa kisiasa maana kila chama kina katina yake ambayo kikipenda kuichezea kinavyotaka inawezekana. Lakini katiba ya nchi iachwe iwe ya wananchi wote
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hivi kwa nini tusianzishe utaratibu wa kuwaua wote wale wanaokwenda kinyume na maslahi ya nchi yetu?
 
haya yatakuwa ni maandano ya tatu kwa nchi nzima kuongelewa jamvini..ngoja tuone..
 
mswada ukipita naenda kujipiga moto ikulu,.kama kuna mwanaharakati yoyote yupo tayari kumtunza mke wangu na mtoto mmoja anipm
 
haya yatakuwa ni maandano ya tatu kwa nchi nzima kuongelewa jamvini..ngoja tuone..
Watu ninaowaamini kwa maandamano hapa duniani ni WAFARANSA tu.wengine huwa tunabip tu,utleast Pretemps Arab wameonyesha nia
 
CCM hakikuwa na suala la Katiba Mpya kwenye Ilani yao ya Uchaguzi, kwa hiyo, hii ni hoja ambayo wameindandia katikati ya safari. Kama wakiachiwa waendelee nayo, watailipua na kutupatia Katiba isyofaa. na dalili zimeanza kuonekana kwa kutaka kyufanya mambo kwa kulazimisha. Ninavyofahamu mimi Katiba ni muafaka wa kitaifa. hakuna haja ya kulazimisha mawazo ya upande mmoja wakati unataka kiwua na kitun kitakachowakilisha maslahi ya watu wote nchini
 
si nilisema jukwaa la katiba wametangaza rasi kuwa endapo km serikali ya ccm itasoma mswada kwa mara ya 2 wataongoza maandamano ya nchi nzima.
 
si nilisema jukwaa la katiba wametangaza rasi kuwa endapo km serikali ya ccm itasoma mswada kwa mara ya 2 wataongoza maandamano ya nchi nzima. HAYA KM CCM HAWASIKII WAENDELEE KUJIDAI VICHWA NGUMU
 
na ikitokea yakatokea,itakuwa mbaya sana kwa serekali coz na wengine wenye hamu ya serekali kuondoka wanaweza kutumia mwanya huo..busara itumike tu kwenye hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom