Kama ndiyo mahitaji ya msingi ya population kubwa ya huko basi ndiyo maendeleo yenyewe
Kwa tafsiri yangu mbovu isiyothibitishwa na maguru wa maendeleo ni kuwa kile watu wanachofeel kama mahitaji yao, ndiyo mahitaji yao na kuwapatia ndiyo maendeleo yenyewe maana kama wanahitaji msikiti ukawajengea bomba la maji ambalo hawahitaji, basi wataishia kubomoa mabomba na kuyauza kama vyuma chakavu.....Tafsiri ya maendeleo lazima itoke kwa wananchi wenyewe na sio wahisani wala watu wengine toka nje ya jamii husika
The question is, je haya ndiyo watu wa Zanzibar wanayaona kama maendeleo na ndiyo mahitaji yenyewe? if so, hongera serikali ya Znz ila kama sivyo, mmhhhhh!!!!