Jukwaa la katiba: Politic Bla! Bla! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jukwaa la katiba: Politic Bla! Bla!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alfred Daud Pigangoma, Nov 13, 2011.

 1. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,779
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  wana JF mliopo mbali na ITV mjadala wa KATIBA umepamba moto kwani wajumbe wanaonesha nia ya hata kuingia mitaani ili kudai katiba mpya. Wajumbe wamewashauri jeshi la polisi kuweka silaha zao chini na kufuata nyuma ya wananchi ili kudai katiba mpya. Mzee Chipaka. Mwenyekiti wa CHADEA alipo jaribu kwasihi wajumbe wapunguze jazba wajumbe wamemzomea huku wakisema CCM! CCM! na Mr. Kibaba amemuokoa kwa jinsi alivyochemka.

  Nawasilisha
   
 2. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  kama kikwete hatasikia , mambo ya mbeya yatatokea nchi nzima
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Sasa hapo politic bla bla iko wapi?
   
Loading...