Viongozi wa africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa africa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Baba Ubaya, Nov 13, 2011.

 1. B

  Baba Ubaya Senior Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 127
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimekua nikijiuliza kwa nini viongozi wa Africa si wepesi wa kuachia madaraka hata pale inapoonekana mambo hayendi vizuri kwenye suala zima la kukuza uchumi achailia mabali kutimiza ahadi walizoaidi kipindi cha uchaguzi.Nimekua nikifatilia kinachoendelea Italy na Ugiriki wako makini na masuala ya uchumi wa inchi zao hadi kupelekea viongozi wa juu kabisa kuwajibika.
  Kwa nini kwetu africa na tanzania ikiwemo hatuna utamaduni huu jamani tuna matatizo gani sisi?
   
 2. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Njaa kitu kibaya
   
 3. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,451
  Likes Received: 7,197
  Trophy Points: 280
  Siyo njaa,nguvu ya umma,wagiriki na waitalia wameandamana sana.
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Damu wanazomwaga magamba ndio zitakaoleta ukomboz wa nch hii. Very soon Arusha. Musoma na Mbeya. Saidi mwema atajutia na mkweere wake. Kila siku wanauwa watu
   
Loading...