sikia maneno ya huyu polisi..!!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,490
54,884
:kandoro mkuu wa mkoa ameshindwa kutuliza kikundi kidogo cha matching guy.hadi anazidiwa na kijana mdogo Sugu
unamfukuza mlala hoi aende wapi?sisi tunatumikishwa tu
:mimi polisi mtu akinipa hata elfu moja namuachia aende sababu hii nchi isha uzwa na kila mmoja wetu ana angalia tumbo lake
:Rais wa ghana alitoa kauli siku hiyo hiyo cameron alipo ongelea ushoga na kutishia kufukuza balozi wa uingereza lakini hadi sasa kikwete hajaongea neno
:yule mchaga wa Arusha ni noma.alisema niache nikae ndani.
mia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom