Sugu moto chiniii!!!

Bhbm

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
714
208
Wana JF hivi mmeona kwenye taarifa ya habari itv jinsi mbunge wa mbeya mjini alivyojaza mtu kwenye mkutano na wapiga kura wake.?
Wabaya wa sugu mtachonga sana lakini Sugu ni level nyingine. Hata kama watu hawampendi ama wanaona hafai, but anapendwa sana na kuaminiwa sana na wapiga kura wake thats enough. Sugu moto chiniii..
 
Nimeona kaka! Kwa haraka nilifkiri picha kutoka maktaba ya mkutano wa kampeni wa mwisho na dr.Slaa, dah kumbe kitu live ni balaaa, kama c hatari.
 
ni moto chiniii,wamegoma kumsikiliza balaa ma,achilia mbali kandol e waliye mtusi nchi inaenda patamu bado lindi
 
Wana JF hivi mmeona kwenye taarifa ya habari itv jinsi mbunge wa mbeya mjini alivyojaza mtu kwenye mkutano na wapiga kura wake.?
Wabaya wa sugu mtachonga sana lakini Sugu ni level nyingine. Hata kama watu hawampendi ama wanaona hafai, but anapendwa sana na kuaminiwa sana na wapiga kura wake thats enough. Sugu moto chiniii..

Mbona unajikanyaga hivyo? mara mmeona alivyokusanya watu, mara wabaya wa SUGU mtachonga, mara hawampendi wanaona hafai. Kumbe hata wewe unajua hafai unawatupia watu mpira. SUGU anajua nini , kukusanya watu siyo kigezo cha kuweza, tulishaona ona wanasiasa wengi wakikusanya watu wakiwemo akina SLAA , lakini ndo kama hivyo wanaweza nini? siasa za hasira, majungu, kashfa majukwaani na kelele za njaa ndiyo kuweza. Halafu ukumbuke kuwa SUGU ni msanii , Watu wengi wanaweza kuwa na Shauku ya kwenda kumuona Msanii na siyo Mbunge.
 
umati ulikuwa mkubwa balaa na wananchi walimshangilia sana.

Nini kushangiliwa, MREMA alisukumwa mwaka 1995 sembuse kushangiliwa. Walimshangilia kama Msanii wa Kizazi kipya siyo kama Mbunge. Wana Mbeya walishamsoma SUGU kuwa ni mpenda sifa , hivyo ni lazima wampe haki yake. Wanajua wazi kwamba pale hawana Mbunge bali msanii
 
Mbona unajikanyaga hivyo? mara mmeona alivyokusanya watu, mara wabaya wa SUGU mtachonga, mara hawampendi wanaona hafai. Kumbe hata wewe unajua hafai unawatupia watu mpira. SUGU anajua nini , kukusanya watu siyo kigezo cha kuweza, tulishaona ona wanasiasa wengi wakikusanya watu wakiwemo akina SLAA , lakini ndo kama hivyo wanaweza nini? siasa za hasira, majungu, kashfa majukwaani na kelele za njaa ndiyo kuweza. Halafu ukumbuke kuwa SUGU ni msanii , Watu wengi wanaweza kuwa na Shauku ya kwenda kumuona Msanii na siyo Mbunge.

Jazba na hasira ni dalili za wivu na kukosa hekima na busara. Mwenzio Masaburi humsikii kabisa. Kandoro kasalimu amri, wee vipi?
 
wasiomkubali ni clouds fm aka wana hisa wa david cameroon ndo maana wakameroon wamejazana kwenye ile radio station wao wanaita mawingu fm

Hapo utagombana na Mbowe una habari , Misaada mingi ya CDM , Mishahara ya Wafanyakazi wa Freemedia inatoka Kwa hiyo CAMERON. Tema mate chini hilo lipite usije ukasikika
 
Mbona unajikanyaga hivyo? mara mmeona alivyokusanya watu, mara wabaya wa SUGU mtachonga, mara hawampendi wanaona hafai. Kumbe hata wewe unajua hafai unawatupia watu mpira. SUGU anajua nini , kukusanya watu siyo kigezo cha kuweza, tulishaona ona wanasiasa wengi wakikusanya watu wakiwemo akina SLAA , lakini ndo kama hivyo wanaweza nini? siasa za hasira, majungu, kashfa majukwaani na kelele za njaa ndiyo kuweza. Halafu ukumbuke kuwa SUGU ni msanii , Watu wengi wanaweza kuwa na Shauku ya kwenda kumuona Msanii na siyo Mbunge.
Nimegundua una uvivu wa kuwaza ndiyo maana uingereza inatulazimisha tukupe haki yako.
 
Nini kushangiliwa, MREMA alisukumwa mwaka 1995 sembuse kushangiliwa. Walimshangilia kama Msanii wa Kizazi kipya siyo kama Mbunge. Wana Mbeya walishamsoma SUGU kuwa ni mpenda sifa , hivyo ni lazima wampe haki yake. Wanajua wazi kwamba pale hawana Mbunge bali msanii

Jaka la Moyo kaka. Ukikasirika! Ukinuna! Ukijinyonga juu yako. Pole kwa maradhi yanayowasibu hakika mkimwamini Yesu Kristo mtapata wokovu. Hamjachelewa maana hata yule mchungaji wa wale kondoo alipogundua kuwa kondoo mmoja kati ya wale 100 hayupo alirudi kumtafuta. Magamba mmepotea na sasa tunamtuma mwokozi kuja kuwaokoa toka dhambini. Amka, jichunguze na chukueni hatua!
 
Back
Top Bottom