CHADEMA isikubali pendekezo la Waziri Mkuu la kuitaka iache maandamano. Lazima ikubalike/ieleweke kwamba maandamano ndiyo njia pekee ya kuleta ukombozi hivyo badala ya kuacha zoezi hilo...
Kufuati kushindwa na migogoro ya madeni kwa ugiriki na utaliano, viongozi wao wamepisha wataalamu waongoze nchi zao kwa muda ilikurekebisha chumi zao, sasa kwa tanzania pia tunakabiliwa na changa...
Nimefadhaika kidogo niliposikia kuwa katibu wangu wa Itikadi na uenezi Nape Nnauye kuwa Chadema inatesa watanzania. Samahani na nipo tayari kusahihishwa. kwangu naamini kuwa CCM ndo wametesa na...
JF members
Nimeisikia hii habari via TBC1 magezeti asubuhi hii kuwa Nape anasema baada ya CHADEMA kushindwa kwenye uchaguzi ulio pita sasa kimeamua kuuwaadhibu wananchi kwa kupitia vurugu...
Mi nadhani kuna haja kubwa ya kufanyika tafiti za uhakika kuhusu madhara yanayosababishwa au yatakayosababiswa kwa wananchi kutokana na mabomu ya machozi hasa kwenye suala zima la Afya. Askari...
Ndugu zangu,
It is always seems impossible until it is done- Anasema Nelson Mandela.
Kwa lugha nyingine, Mzee Mandela anaamanisha hakuna lisilowezekana kwa maana zote, njema na ovu.
Na...
Helow mtanzania mwenzangu, mwenye uchungu na hali ya maisha ilivyo sas vuta taswira na kumbukumbu na angalia vijana kwa wakinamama wanaojitafutia kipato chao kwa mahangaiko lakini serikali...
JAMANI WABUNGE WA TZ;
Kwa niaba ya Watanzania na hatima ya nchi yetu kwa vizazi vya sasa na vijavyo, TUNAWAOMBENI SANA huo muswada wa KATIBA MPYA msikubali isomwe kwa mara ya pili na kupitishwa na...
Tbc wamerusha japo ime editiwa semina ya wabunge juu ya katiba.
Wazungumzaji wameeleza umuhimu wa ushirikishwaji wa wananchi kwenye katiba. Iko tbc sasa
TBC- 1: Prof.Palamagamba John Kabudi, Mtaalamu wa sheria za Katiba, Mazingira na Sheria za Kimataifa akiwapiga msasa wabunge.
PROF KABUDI; SOTE TUTAKUFA LAKINI TANZANIA ITABAKIA: SEMINA YA...
Nimefuatilia vyombo vingi vya habar jana TVs, redio na magazeti mengi habar ya vurugu ya mbeya na udsm vimepewa coverage ndogo na mengine hakuna hata hiyo habar. Tatizo ni nin? Au serikali...
Salaam wanaJF!
Inafahamika kwamba, ili nyumba iwe imara na itakayodumu kwa muda mrefu ni lazima msingi wake uwe imara pia. Inamaanisha kwamba, msingi ukiwa mbovu basi nyumba hiyo haitodumu kamwe...
Taarifa maalum ya maandalizi ya maandamano ya kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar.Written by musmyl // 11/11/2011 // Matangazo // 22 Comments
Umoja wa ZARFA unawaarifu wazanzibari...
Makala hii imetoka katika gazeti Raia mwema
Msomaji Raia
WIKI iliyopita, Mzee Samuel Sitta ambaye ni Mbunge wa Urambo na Waziri katika serikali yetu, aliongea kupitia televisheni ya ITV...
Machafuko kila sehemu ya nchi, tena tunaambiwa maandamano makubwa yanakuja.
Kwanini Kikwete asijiuzulu kabla hakijamkuta kilichomkuta Gaddafi?
Hata moto mkubwa ulianza na cheche.
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza viongozi wa wilaya mpya wa WANGING'OMBE mkoa mpya wa Njombe kuondoa MVUTANO wa makao makuu ya wilaya hiyo ambapo na kuwa Kama watashindwa kuafikiana Kati ya Kata ya...
Imethibitika kwa mara nyingine tena ndani ya jiji la Mbeya kuwa kumbe Magamba na polisi ndo chanzo cha vurugu nchini. Baada ya risasi na mabomu kushindwa, Magamba wakagundua njia pekee ni kutumia...
wadau huyu mbunge hata hajaapishwa toka uchaguzi uishe yupo kitandani ni mgonjwa sana hivyo hatuna mwakilishi jimboni kwetu,je selikari inaonaje kama tukifanya uchaguzi mwingine tutafute...
Ndg zangu mliokua mnafuatilia mdahalo wa katiba, mmemshuhudia D.Kibamba akitangaza maanadamano makubwa kama kesho muswaada wa katiba utasomwa kwa mara ya pili bungeni.
my take:
je serikali...
Jamani naombeni sana kama mtu anayo au anajua namna ya kuipata email address ya deputy secretary wa UN
Bi Asha Migiro ili tumfikishie ujumbe huu hapa chini ili ajionee mwenyewe human right...