Je papandreu na berlesconina tanzania watapisha Serikali ya Mpito | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je papandreu na berlesconina tanzania watapisha Serikali ya Mpito

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by August, Nov 13, 2011.

 1. A

  August JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2011
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,507
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Kufuati kushindwa na migogoro ya madeni kwa ugiriki na utaliano, viongozi wao wamepisha wataalamu waongoze nchi zao kwa muda ilikurekebisha chumi zao, sasa kwa tanzania pia tunakabiliwa na changa moto zetu za uchumi na katiba mya je ipo haja ya kuwapa nchi kwatu ka prof Shivji na Mchumi mija hivi ili washughulikie masuala hayo
   
Loading...