Kwa nini tunapotosha maana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini tunapotosha maana?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bishop Hiluka, Nov 14, 2011.

 1. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Hakuna jambo linaloniudhi kama hawa wanaong'ang'ania kudai kuwa
  tunakaribia kutimiza miaka hamsini ya uhuru wa Tanzania Bara. Mimi hapa
  sielewi, Tanzania Bara ndiyo iliyopata uhuru? Kwa nini tunashindwa kuipa
  heshima nchi yetu (Tanganyika) iliyoupigania uhuru huu? Hata asubuhi hii
  kwenye taarifa ya habari ya TBC nimesikia tena upotoshwaji mwingine
  eti (TLC) ni Chama cha Wanasheria wa Tanzania Bara wakati kiukweli
  imesajiriwa kwa jina la Chama cha Wanasheria wa Tanganyika na si
  Tanzania Bara... Mnasemaje wadau?
   
Loading...