Ushauri wenu please!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wenu please!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mashizo, Nov 14, 2011.

 1. m

  mashizo Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 24, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  wadau naombeni ushauri wenu.
  kuna kampuni huku ughaibuni tunatengeneza teaching aids kwa ajili ya mashuleni na technical schools,teachers training schools na wakati mwingine tunatengeza hata kwa vyuo vikuu.sasa tunajaribu kufuatilia kule nyumbani tanzania kama watahitaji basi tunaweza kuanza kufanya nao hii project.
  vifaa ambavyo tunatengeneza ni vingi sana.
  mfano (1) vifaa vya kieletronika ambavyo vinaonyesha ohms law's,Kirchhoff's Laws na mambo mengine mbalimbali.
  (2)pia tunaweza tengeneza vya history,geography,mathematics,biology etc

  HII ITASAIDIA VIJANA WETU WAJIFUNZE KWA VITENDO ZAIDI KULIKO KUKALILI
  waweza ingia website yetu EL-GO
   
Loading...