Eti WABUNGE si WANANCHI!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Eti WABUNGE si WANANCHI!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwita Matteo, Nov 14, 2011.

 1. Mwita Matteo

  Mwita Matteo JF-Expert Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: May 16, 2010
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Japo kuwa wabunge ni wananchi kama wananchi wengine, ile hadhi yao ya kuaminiwa na wananchi wenzao inazidi kushuka kutokana na mijadala wanayoendesha na maamuzi wanayofikia ndani ya BUNGE. kuna mtu moja juzi kwenye tv alikua alikua akisem akuwa vuguvugu hili la kudai katiba mpya linakua nilamshangaza hasa pale wabunge wanapotaka kuupitisha mswaada alafu wanaharakati wanasema mswaada urudishwe kwa wana nchi ikampelekea kuuliza hivi kwani wabunge si wananchi??? Ki ukweli wa Bunge ni wananchi jina tu na linapokija swala la kutetea maslai ya wananchi huwa wanajitoa na ndio maana huwa mara nyingi tukishuudia wakipitisha miswaada isiyo kuwa na tija kwa wananchi, Mfano sasa wanataka waongezewe mishahara ila hali wananchi wengi mishahara na maslai yao ni duni. Kama kweli ni wananchi wenzetu kwa nini tusisimame pamoja kupigania maslai ya Taifa???
   
Loading...